Utaratibu wa kumiliki silaha za moto ukoje?

Imebidi nimpigie cm ex nilomuacha majuzi hapa kwa ugomvi mkali sana kuhakiki jambo!!
Kasema huwa hatumii jf kabisa, baada ya hilo jibu nikashusha pumzi kdg na kublock tena kwa speed 😎
 
Kama una hasira za haraka au mtu wa kupenda sifa achana na kumiliki silaha ya moto maana mlango wa jela hautakuwa mbali na wewe. Vinginevyo kama sio mtumishi wa hizi Taasisi za vitengo zinazopata kibali kirahisi jiandae kusota si chini ya miaka 3 mpaka 4 kuhangaikia kibali
 
Kwa kifupi na elimu yangu ndogo unatakiwa uanze polisi Kuna fomu utapewa na utaeleza sababu kwanini unataka kumiliki silaha husika

Ukishajaza iyo fomu itaenda kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika watakujadili na kukuchunguza minendo yako ni mtu wa aina gani mtaani hasa attitude yako.


Hawa wakishapitisha ndo unaenda na ivyo vibali pale Tanganyika Arms kuchagua silaya unayotaka na ili iwe registered na kupewa uanze kulipa na ada za Kila mwaka
 
Unataka Kama haka
 
Baby ndo tumefikia huku mama..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…