Utaratibu wa kumiliki silaha za moto ukoje?

Nahisi ni wee kweli ndo uliniambia kuhusu ajari ya huyu IB.

mie namzingua tyuuh, wala simaanishi kabisa, couz cna interest ya kujua ya undani wa mtu, iwe kweli au uongo, up to yeye

Namchangamsha tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani seli ndio ni mwanangu anae nimanya kiundani, hata niki safiri huwa ana fahamu.

ila huchelewi kusema nayo ni id yangu nyingine 😂 😂 😂
 
Nadhani seli ndio ni mwanangu anae nimanya kiundani, hata niki safiri huwa ana fahamu.

ila huchelewi kusema nayo ni id yangu nyingine [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeniwahii!! Nilitaka niseme, "IB umekuja kujitetea kwa I'd ingine"

Sema huyo SK sijamzoea sana, nikajistukia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona umejiwahi hivi, au kweli unajipakulia minyama kwa vazi jingine, maana JF imekaa kimachale mnoo. Woiiiih
 
Ukiwa antagonist lazima umsome mtu, na wewe pattern yako ili elekea Huku🤣😂.

Selikavu kaka hii I'd yangu ehh?
 
Naona Leo umelewa sasa
 
Wala Sina pupa,.
Unajua utaratibu nielekeze hujui pita hivi
Nenda maduka ya vifaa vya maabara/school lab facilities. Taja jina la shuleni yoyote au tuition center, ingawa ni marachache kuuliza.
 
Huyu
shida sio wadada wala nini, shida uki Soma maelezo unaona there's some childishness.

yaani ana taka silaha au acid chap chap, as if ni mdoli wa kwenda kuchezea.

Hapa usi shangae hata aki kanyagwa, ata itoa hiyo Glock
nu muumini wa gwajima, anataka kulipiza kisasi Kwa wale polisi. Nammnga mkono, tena walipaswa waumini kama 1000 wa aina hii mambo yangenyooka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…