Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

Mait inayotembea
 
Mimi nyumbani kwangu kila juma3 ni siku ya kununua vitu kama nyama, samaki n.k. Mboga mboga zipo bustanini. Mchele na mahindi vipo ghalani. Ukiwa na kabustani ka mbogamboga kanasave. Hela ikiachwa mezani ni ya emergency na kujiongeza kusave.

Ukishachange elfu 10 inaisha chap
 
Kwa upande wangu naona ni vizuri kuwa na chakula ndani kuliko kuacha hela ya matumizi kila siku.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…