Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

Nilivyo bahili mimi, naacha buku tu ya mboga za majani. Kama ni samaki, kuku, nyama nk viko kwenye jokofu.

Mafuta nina galon ya 20ltrs kutoka Singida, unga upo kiroba, mchele kilo 30, na umeme unit kama zote.

Wote wana bima za afya. Gari yangu yenyewe naitumia mara moja tu kwa wiki kubana matumizi ya mafuta, matairi, kuokoa km 3000 za service nk.

Mbaya zaidi sitajiriki, kwanini? Au nimekufa hamtaki kuniambia?
Mait inayotembea
 
Mimi nyumbani kwangu kila juma3 ni siku ya kununua vitu kama nyama, samaki n.k. Mboga mboga zipo bustanini. Mchele na mahindi vipo ghalani. Ukiwa na kabustani ka mbogamboga kanasave. Hela ikiachwa mezani ni ya emergency na kujiongeza kusave.

Ukishachange elfu 10 inaisha chap
 
Kwa upande wangu naona ni vizuri kuwa na chakula ndani kuliko kuacha hela ya matumizi kila siku.!
 
Back
Top Bottom