Utaratibu wa mabasi ya Abood kuingia gereji Morogoro una faida gani?

Habari WanaJf,aisee mimi nilikuwa mpenzi wa mada ya VITUKO MTAANI,TUPIA CHAKO;;Nashangaa siioni tena hii mada kwa program,vipi imefutwa?Au kuna sehemu nimekosea ktk settings?NAOMBA kujuzwa please,nitashukuru
 
Kina Abood ni watu wa matukio sana wale, kila basi lifikalo pale lazima liwekwe jini kwa ajili ya ulinzi njiani na kuna yanayopangwa rasmi ili yapinduke na kuua kisha wapate mengine mapya. Wenye mabasi si watu wa kawaida.
 
Ulitaka basi la Majinja liingie yadi ya Abood! Mabasi hayo hayana uhusiano.
Tatizo lolote la usafiri peleka LATRA siyo ka Rais, unaposhauri jambo tumia akili.
 
Ndio uchawi wake huo
 
Kuna Mada humu humu JF uhusu Abood, itafute uunganishe Matukio. Wanabodi walisema Gari za Abbod zinaingia Yard ili akusanye michanga iliyopo kwenye gari kwa mambo yake ya Ndumba. Siku nyingine tafiti, Gari ikitoka yard imekuwa safi gafla tambua kwamba umeshabebwa Unyayo wako mkuu utabaki kutengenezwa uendelee kuwa Msukule wa Abood milele ndio maaana magari ni mabovuuuuu lkn umeona kuna Misukule yake humu inaiimbia mapambio. Gari AWY mkweche wa mwaka 2002 lkn ukiunanga kuna waliobebwa Nyayo na kutengenezwa wakatengenezeka wanatoka mishipaaaa kutetea hizo Screpa.
 
Bado mnapandaga tu.
 
Acha ujuaji.Panda gari lingine lisiloingia kuoga yadi.Umeshtaki kwa watu wengi ili iweje?
 
Yan mpaka karne hii unapanda abood shame on you kuna Gar mpya kampun mpya hukuziona iman, Saul, golden dear
 
Hizi basi huwa zinaingia gereji yao hasa kwaajili ya kukaguliwa kama hazinahitilafu yoyote kwani safari ni ndefu,na huwa wanafanya kwa mabasi ya masafa marefu tu,basi za dar moro abiria hawapelekwi gereji,laziada pia pale ndipo wanapojazia mafuta basi zao.

Mwanzo nilikuwa nalalamikia kama wewe,lakini zaidi ya mara tatu tulishafaulishwa basi baada yakukaguliwa zikaonekana na hitilafu ambayo ni hatari kwa safari.Hapo nikagundua kwamba utaratibu wao ni mzuri kwani wanazingatia usalama wetu.

Kuhusu kuachwa juani nalo sio kweli kwani pale nje kuna mabanda ya wafanya biashara wanaopata riziki zao kutokana na mabasi haya kupitia gereji labda useme yale mabanda pale nje sio classic.

Kunaweza kuwa na changamoto lakini binafsi nafikiri ni bora zikarekebishwa hizo Ila utaratibu huu ni mzuri.
 
Utaratibu huu ni mzuri wa kukagua na kuyafanyia service pale kwenye garage yao, Tatizo ninaloliona ni abood kutegemea vibanda vya wafanyabiashara pale nje kwa ajili ya kupumzika wasafiri! wangejenga sehemu pale ya kupumzika Wasafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…