Utaratibu wa Mahari, mwanamke wa Kichaga Rombo

Utaratibu wa Mahari, mwanamke wa Kichaga Rombo

Kwani lazima niandike unachotaka kusikia wewe? Tatizo ndo hilo. Yaani watu wote watililishe unachokitaka wewe! Haitatokea.
Ungekuwa umekuwa ungeelewa nilichoandika pale juu ukarekebisha lakini sababu bado mtoto unaendeleza yale yale.

Hujawa bado na hadhi ya kusimama mbele ya mwanaume mwenzako ukampa nasaha zozote elewa hilo, ngoja ukue kwanza.
 
Ungekuwa umekua ungeelewa nilichoandika pale juu ukarekebisha lakini sababu bado mtoto unaendeleza yale yale.

Hujawa bado na hadhi ya kusimama mbele ya mwanaume mwenzako ukampa nasaha zozote elewa hilo,ngoja ukue kwanza.
Sasa kama hana uwezo wa kujiamlia,huoni ana uume tu si mwanaume? Povu la nini!
 
Sasa kama hana uwezo wa kujiamlia,huoni ana uume tu si mwanaume? Povu la nini!
Bold kubwa,wewe una matatizo gani na lugha yako?

Kwa scene hii unadhani wewe na yeye anayeenda ku-face uhalisia wa maisha ni nani tumtilie mashaka juu uanaume wake?yeye anayeenda kufanya kile alichokifanya baba yako hadi wewe ukapatikana au wewe unayejaribu kukikataa?ningekuwa baba yako ningekuuliza kama unakataa kuoa unataka uolewe wewe?
 
Lugha yangu iache hivo,kikubwa umeelewa. Bahati mbaya sasa si baba yangu. Uliona post hapa baba anakuomba ushauli wa kuoa? Si kaleta hoja hapa? Haya, ningesema naolewa mimi. Umeridhika sasa?
 
Lugha yangu iache hivo,kikubwa umeelewa. Bahati mbaya sasa si baba yangu. Uliona post hapa baba anakuomba ushauli wa kuoa? Si kaleta hoja hapa? Haya, ningesema naolewa mimi. Umeridhika sasa?
Yeah ningetegemea jibu kama hili.

Hakuna mtu aliyeomba ushauri kwamba aoe au asioe anachotaka kufahamu mleta mada ni taratibu za anakotaka kuoa wanataka nini na nini?siyo kosa ni ushauri wa kawaida tu ilibidi wewe kama cha kumshauri huna ukae kimya siyo kuanza kum-crush as if amekulazimisha kumshauri.
 
Unaoa manka wa kichaga ee... jiandae ni wakorofi hatari.
Binafsi pia ni mkorofi,naamini kila mtu ana pande mbili ubaya na uzuri,nmeangalia zaidi mazuri yake kuliko mabaya yao (warombo)
 
Kwani anayetolewa mahari mwenyewe hajui taratibu za kwao?
hawezi acha kujua na kama hajui angeweza kuuliza ila sitaki kumjulisha hili jambo kabla sijajipanga.

siku namwambia kuhusu hili, kesho yake natuma watu kwao yani ivyo
 
Siku hizi hivi wanavibadili kwenda cash.

Hivyo bado vichache ataandikiwa mkeka akishusha hesabu ngoma itasoma 3.5mill sasa itabaki kazi kwake kuwachekecha ishuke.
Wakifika 3.5m si unashukuru Mungu maana huo ni muujiza, na hv mahari haimalizwi na wafike amount hiyo,lazima nikatoe shukuran ya pekee kanisani
 
ukimuuliza mtu akijua haipendezi sana sitamani ajue kama nina mpango wa kumuoa.
Huku mitandaoni utafika kwenye lengo ukiwa umechoka sana.

Njia rahisi na ya uhakika...tafuta mchagga wa Rombo (mtu wa makamo/mzee), uongee naye ana kwa ana utapata mwongozo mzuri wa kufikia kusudio lako.
Kila la heri!
 
Back
Top Bottom