uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Mbona niko na Happiness na ni mtu poa sana dunia imebadirika anyway taratibu ni za kawaida tuNdugu umekosa kabsa sehm nyingine Tanzania ya kutoa posa?
1:tafuta mshenga
2:andaa mahali(pesa)
3:andaa budget ya sherehe mbili kimila na kanisani
4:mengine muulize mkeo mtarajiwa ni watu poa sana white wachapa kazi
Wengi hupenda kukubaliana na wewe (mwanaume)unapong'ang'ania jambo kifupi ni hawapendi kubishana