Ungekuwa umekuwa ungeelewa nilichoandika pale juu ukarekebisha lakini sababu bado mtoto unaendeleza yale yale.Kwani lazima niandike unachotaka kusikia wewe? Tatizo ndo hilo. Yaani watu wote watililishe unachokitaka wewe! Haitatokea.
Sasa kama hana uwezo wa kujiamlia,huoni ana uume tu si mwanaume? Povu la nini!Ungekuwa umekua ungeelewa nilichoandika pale juu ukarekebisha lakini sababu bado mtoto unaendeleza yale yale.
Hujawa bado na hadhi ya kusimama mbele ya mwanaume mwenzako ukampa nasaha zozote elewa hilo,ngoja ukue kwanza.
Lazima atakuwa mrembo Sana.Mimi nimepata mmachame
Bold kubwa,wewe una matatizo gani na lugha yako?Sasa kama hana uwezo wa kujiamlia,huoni ana uume tu si mwanaume? Povu la nini!
Lugha yangu iache hivo,kikubwa umeelewa. Bahati mbaya sasa si baba yangu. Uliona post hapa baba anakuomba ushauli wa kuoa? Si kaleta hoja hapa? Haya, ningesema naolewa mimi. Umeridhika sasa?Bold kubwa,wewe una matatizo gani na lugha yako?
Kwa scene hii unadhani wewe na yeye anayeenda ku-face uhalisia wa maisha ni nani tumtilie mashaka juu uanaume wake?yeye anayeenda kufanya kile alichokifanya baba yako hadi wewe ukapatikana au wewe unayejaribu kukikataa?ningekuwa baba yako ningekuuliza kama unakataa kuoa unataka uolewe wewe?
Yeah ningetegemea jibu kama hili.Lugha yangu iache hivo,kikubwa umeelewa. Bahati mbaya sasa si baba yangu. Uliona post hapa baba anakuomba ushauli wa kuoa? Si kaleta hoja hapa? Haya, ningesema naolewa mimi. Umeridhika sasa?
Sababu?Mtu mwingine huyo ameanza safari ya kutafuta kitanda hospitali ya wagonjwa wa.............. Namuona akipaki begi zake,ndo anaaga washikaji hivyo.
Chuki n'a roho mbaya hazijawah kumuacha MTU salamaNdugu umekosa kabsa sehm nyingine Tanzania ya kutoa posa?
Wakifika 3.5m si unashukuru Mungu maana huo ni muujiza, na hv mahari haimalizwi na wafike amount hiyo,lazima nikatoe shukuran ya pekee kanisaniSiku hizi hivi wanavibadili kwenda cash.
Hivyo bado vichache ataandikiwa mkeka akishusha hesabu ngoma itasoma 3.5mill sasa itabaki kazi kwake kuwachekecha ishuke.
Hatariwatu wana mashaka sana na wa rombo
Huku mitandaoni utafika kwenye lengo ukiwa umechoka sana.ukimuuliza mtu akijua haipendezi sana sitamani ajue kama nina mpango wa kumuoa.