Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

Waongeze POS tu hub ziwe hata 10.
Wabongo kwa upigaji hatari hata hizo POS au card watapigwa tu.Bora uwawekee target kwa siku waifikie mengine usiulize.
Huwezi dhibiti wizi tza bali unaweza punguza na kwenye upigaji watumishi ujituma Sana kufanya kazi.Wanawahi kazini,wanakuhudumia chap chap tena kwa furaha wakijua jion uhakika.
Hizo POS utatolewa dabo dabo mtu control number hata watu 10.
Hakuna kitu cha hovyo kukichezea kama technologia hasa vifaa hivyo vya malipo.
Vinafaa ulaya kule watumishi waaminifu sababu wanalipwa package na sio huku mtu analipwa kwa mwezi mshahara sawa na posho moja ya mbunge kwa siku.
 
Mbongo kwa cv ya uharibifu anaongoza na sio ubunifu, sababu ya maslai duni lzm mtu ajiongeze
 
Wabongo kwa upigaji hatari hata hizo POS au card watapigwa tu.Bora uwawekee target kwa siku waifikie mengine usiulize.
Huwezi dhibiti wizi tza bali unaweza punguza na kwenye upigaji watumishi ujituma Sana kufanya kazi.Wanawahi kazini,wanakuhudumia chap chap tena kwa furaha wakijua jion uhakika.
Hizo POS utatolewa dabo dabo mtu control number hata watu 10.
Hakuna kitu cha hovyo kukichezea kama technologia hasa vifaa hivyo vya malipo.
Vinafaa ulaya kule watumishi waaminifu sababu wanalipwa package na sio huku mtu analipwa kwa mwezi mshahara sawa na posho moja ya mbunge kwa siku.
Hahahahah mshahara wa mtu hautoshi lazma afanye miundombinu maana bila hivyo mambo hayakai form! 😅😂😂

Eti mshahara wa mtumishi ni posho ya mbunge ya siku moja! Kweli wizi hautakaa uishe
 
Wabongo kwa upigaji hatari hata hizo POS au card watapigwa tu.Bora uwawekee target kwa siku waifikie mengine usiulize.
Huwezi dhibiti wizi tza bali unaweza punguza na kwenye upigaji watumishi ujituma Sana kufanya kazi.Wanawahi kazini,wanakuhudumia chap chap tena kwa furaha wakijua jion uhakika.
Hizo POS utatolewa dabo dabo mtu control number hata watu 10.
Hakuna kitu cha hovyo kukichezea kama technologia hasa vifaa hivyo vya malipo.
Vinafaa ulaya kule watumishi waaminifu sababu wanalipwa package na sio huku mtu analipwa kwa mwezi mshahara sawa na posho moja ya mbunge kwa siku.
Na kweli. Tena kadi zenyewe hizo zipo kipuuzi kinoma, hazina any unique identifier. Yaani hata wewe ukiwa nayo, nikakuibia naitumia vizuri tu bila shida.
Mimi salio langu zaidi ya 7,000 limetumika pasipo mimi kuitumia kadi yangu, nikiwa nimesafiri nje ya Dar kwa miezi miwili. Narudi, nascan kitu hola. Kucheki salio ZERO.
Wanaachaje kuendelea kupiga?
 
Yawezekana tunayaweza ila kuna wenzetu wanatusaliti, wanatumia ofisi za umma kujineemesha
Sasa kama ukistaafu awakujali kwann usitumie fursa. Wao wanapiga wanapeana mabenzi, majumba, mara bilioni zimekutwa nyumbani sijui, mara zimepigwa. Ripoti ya CAG inakatisha tamaa.
 
Na kweli. Tena kadi zenyewe hizo zipo kipuuzi kinoma, hazina any unique identifier. Yaani hata wewe ukiwa nayo, nikakuibia naitumia vizuri tu bila shida.
Mimi salio langu zaidi ya 7,000 limetumika pasipo mimi kuitumia kadi yangu, nikiwa nimesafiri nje ya Dar kwa miezi miwili. Narudi, nascan kitu hola. Kucheki salio ZERO.
Wanaachaje kuendelea kupiga?
Uko sahihi! Kadi famba kabisa rahisi kupotea
 
Wabongo kwa ubunifu wa wizi utowaweza we wawekee target wafikie.Maana KILA mtu mwizi kuanzia juu hadi housegirl.
Baba anapiga job,mama anampiga baba anapewa matumizi anawalisha watoto viporo,dada wa Kazi nae akiachiwa matumizi nae anapiga.Imekua jadi.
Anaekwenda kufanya auditing nae mwizi.
Sasa uliona wapi mwizi anamkagua mwizi mwenzake.Ukiona mtu kaandikiwa ripoti mbaya jua ajakilimiwa vizuri alipokwenda kufanya ukaguzi.Hili ni janga
 
Basi kama unaiba lakini Toa huduma bora
 
Inakuaje kwa wale wanaovuka kwa mala moja tu na kurudi. Ambapo ilitakiwa atumie 400 tu. Sasa itambidi alipie hiyo kadi kwa 1000.
Daah huu ni uonevu aisee
 
Ndo hivyo ni kero
 
Watu weusi ni washamba na masikini katika mambo ya kiteknolojia. Mpk wa cope na changes itawachukua muda sana
 
Hio Kadi nilinunua kama wiki mbili zilizopita ili kuepuka usumbufu wakisimamisha matumizi ya cash. Kila nikivuka hapo nawaomba kujaza salio wananipa majibu ya kipuuzi 'mfuate Yule kule' yaani Niko kwenye foleni ya magari niache gari nimfuate mpuuzi mmoja kwenye lounge ya abiria! Nimewauliza kama mara nne nikaachana nao nikajua tu siku ikifika ni disaster! Nimeacha rasmi kupita ferry.
Kwanza ukiondoa km4-5 zinazoongeka hamna unachopoteza kupita darajani. Tena darajani unaweza kuwahi kuliko ferry. Kuna upuuzi wa Hali ya juu pale kivukoni.
 
Wadau wanasema Jioni kule bandarini hapatabiliki jam! Tukirudi kwenye topiki, Ile ujinga wa N-CARD kurecharge kwa kumfuata mtu ni kero,
 
Kule nishaachana napo zaidi ya mwaka sasa. Napambana na Kilwa road hadi Uhasibu.
 
Back
Top Bottom