Utaratibu wa ndoa yangu

Hadi saa sita nipo Tu jf .aisee naitaji control mjue.mnioe sasa
Kama huhitaji mahari mimi nipo tayari kukuoa.

Naahidi nitakupenda kwa dhati, kila kilicho changu (baiskeli ya phoenix mkulima) kitakuwa chako na vyako vitakuwa vyangu.
Nitahamia kwako ili usipate tabu ya kuhama wewe๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.
 
Kuna jamaa kaleta mada kule kasema hata umlinde vp mkeo atakuchiti tuuu


Ngoja tuonee
 
Ninachojua, Ndoa haina fomular namna ya kwenda ili idumu au heshima ipatikane, unaweza ukafikiri unamdhibiti kumbe ndio unaharibu, mke anakaa nyumbani tu akusubiri umletee una guarantee ya maisha? ukiumwa au kupata ajali utaweza kutafuta hela kumhudumia? Mke kuheshimu ni Automatically kulingana na unavyomtreat, sio kumpelekesha kijeshi hivyo. Kuna vitu vya kukataza kweli na kuwekea msimamo mfano: hilo la kupakwa kucha, wangu nilimwambia kama hawezi kujipaka abaki na rangi asili ya kucha zake, kwanza sikumpendea kucha, kuvaa manywele bandia A.K.A mawigi nilimpigia marufuku maana siyapendi. Ila mke wangu sio mama wa nyumbani, anajichanganya na wengine inamsaidia pia kujua changamoto ya ndoa za wengine ili kwake arekebishe
 
Ndoa lazima iwe na misimamo yake
 
Subiri yakikukuta utaelewa ninachosema. Tena nyie wababe ndio mnagongewa kizembe zembe.

Unaweza kuta huyo anaemshonea magauni ya kitenge akawa ndio anamla๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Yanikute lini mzee? Unajua nina miaka mingapi nae
 
Yanikute lini mzee? Unajua nina miaka mingapi nae
Hata maajuza wanakuwaga na nyege wakikutana na mtu sahihi.

Na pengine miaka yote unang'ongw'a. Ukirudi na biti lako na mikwara mwenzio anakucheka kijicho pembe keshakamuliwa vizuri๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Kuna vitu unaweza kusema unafnya kwa maamuzi yako kumbe ni ishu za inheritance...je faza yupo hivo..?

Au haka katabia umeanza nako weweb
Naona ana kwepakwepa kujibu! Eti we mkuu Dali Mpofu haya mambo umeyatoa wapi? Au mzee wako aliishi hivyo na maza?
There some traits that reveal what kind of a person you are
 
Mke wako anaishi na Nyampala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ