Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 328
Mara nyingi natumia ile kauli "mwanamke usipomuendesha wewe atakuendesha yeye" hivyo nimekuwa na utaratibu wangu wa kipekee ktk ndoa yangu. Sio udikteta wala si kwamba nafanya kitu sijui.
Ipo ivi
Mke wangu ni marufuku na kosa la jinai kuvaa suruali na nguo yoyote dizain hyo, nguo zake ni gauni pana,blauzi skert na nguo zenye heshima.
Mke wangu hana campan ya wanawake wa aina hyo ya mavazi ya uchi hyo ni sheria sio ombi,kwa kifupi hana marafiki, mkewangu ni yeye na nyumbani nyumbani na yeye. Habari za kwenda kwenda kwao hyo haipo kwangu,labda km kuna issue ya lazima pia tunaweza kwenda nae tukarudi cku hyo hyo.
Mke wangu anaishi maisha local, sio mtu wa kwenda na usasa kivile. Anaishi maisha safi, kula vzr kulala pazuri huduma zote muhimu anapata lkn sio mtu wa kwendwa na nyakati,hapendelei kusuka ni mtu wa kunyoa tuu.
Nimarufuku nimkute mke wangu anasafishiwa kucha/miguu na wasafisha kucha, ananijua hawezi kuthubutu.
Mimi mda wa kurudi nyumban haujulikani sina ratiba maalum, kwa kifupi ratiba zangu mkewangu haelewi na sitaki aelewe.
Mimi kuchukua simu yake na kuondoka nayo ni jambo la kawaida, alafu ni kosa nikute kaunga kifurushi cha Sms kwenye simu yake.
Nimefanya haya na mengine na nimeweza kwa kiwango kikubwa, na mkewangu amechukulia km ni utaratibu wa ndoa. Sifanyi kumkatili lkn najua mwanamke usipomuendesha atakuendesha.