Utaratibu wa ndoa yangu

Utaratibu wa ndoa yangu

Inawezekana ila kaa utaanza taratibu hizi mwanzo kabisa ila ukisubir mshaanza safari umeisha

kugegedwa ndo nini sijaelewa
Tatizo mapenzi ni km uwindaji, ukienda vibaya unapeperusha ndege, inahitaji akili nyingi sana kwa wanawake wa kileo, huyu anakiri mkewe si wa kisasa ndio maana imekuwa rahisi kwake.
 
Naona ana kwepakwepa kujibu! Eti we mkuu Dali Mpofu haya mambo umeyatoa wapi? Au mzee wako aliishi hivyo na maza?
There some traits that reveal what kind of a person you are
Mbona vitu vya kawaida hivyo, tatizo wanaume wenye tabia za kike mkiona mwanaume anauishi uanaume wake mnahisi kama mmechomwa na kisu cha moto kwenye chemba ya moyo.
 
Ndoa lazima iwe na misimamo yake
Hata maajuza wanakuwaga na nyege wakikutana na mtu sahihi.

Na pengine miaka yote unang'ongw'a. Ukirudi na biti lako na mikwara mwenzio anakucheka kijicho pembe keshakamuliwa vizuri[emoji2][emoji2]
Nguruka ndio maana nikasema bado huwaelewi wanawake, kumpima
mwanamke kama yupo pamoja na wewe jaribu kuwa politically incorrect, mkataze kufanya vitu ambavyo si kawaida kwa wengine kukubali, and if she obeys your speech that means she trusts your authority.

Infidelity inaanzaia pale mwanamke anapo doubt your authority, maana yake kaona kwamba wewe ni dhaifu huwezi kumuongoza na kuna mwanaume bora zaidi yako huko nje na yupo tayari ku surrender kwake

Mwanamke anataka ku surrender kwa mwanume aliye strong, ikitokea ameshindwa kukutii unachosema ujue huyo sio wako na haumuwezi, ndio maana biblia inahimiza kuhusu utiifu wa mwanamke.
 
Itoshe kusema wanawake wenyewe hawajielewi, sembuse wewe.

Endelea kuamini unawaelewa chief, maisha huru haya.
kumuelewa mwanamke inahitaji ujielewe wewe kwanza, na uelewe unataka nini kutoka kwake km afanyavyo mleta mada, na hii thread inaonesha wanaume wengi ni kina Samson na delilah, you place your women above God, you dont have leadership skills, wait til the storm arrives, there will be no place to hide your weakness.
 
Basi sawa.
 
Nguruka ndio maana nikasema bado huwaelewi wanawake, kumpima
mwanamke kama yupo pamoja na wewe jaribu kuwa politically incorrect, mkataze kufanya vitu ambavyo si kawaida kwa wengine kukubali, and if she obeys your speech that means she trusts your authority.

Infidelity inaanzaia pale mwanamke anapo doubt your authority, maana yake kaona kwamba wewe ni dhaifu huwezi kumuongoza na kuna mwanaume bora zaidi yako huko nje na yupo tayari ku surrender kwake

Mwanamke anataka ku surrender kwa mwanume aliye strong, ikitokea ameshindwa kukutii unachosema ujue huyo sio wako na haumuwezi, ndio maana biblia inahimiza kuhusu utiifu wa mwanamke.
Ok.
 
Mara nyingi natumia ile kauli "mwanamke usipomuendesha wewe atakuendesha yeye" hivyo nimekuwa na utaratibu wangu wa kipekee ktk ndoa yangu. Sio udikteta wala si kwamba nafanya kitu sijui.
Ipo ivi

Mke wangu ni marufuku na kosa la jinai kuvaa suruali na nguo yoyote dizain hyo, nguo zake ni gauni pana,blauzi skert na nguo zenye heshima.

Mke wangu hana campan ya wanawake wa aina hyo ya mavazi ya uchi hyo ni sheria sio ombi,kwa kifupi hana marafiki, mkewangu ni yeye na nyumbani nyumbani na yeye. Habari za kwenda kwenda kwao hyo haipo kwangu,labda km kuna issue ya lazima pia tunaweza kwenda nae tukarudi cku hyo hyo.

Mke wangu anaishi maisha local, sio mtu wa kwenda na usasa kivile. Anaishi maisha safi, kula vzr kulala pazuri huduma zote muhimu anapata lkn sio mtu wa kwendwa na nyakati,hapendelei kusuka ni mtu wa kunyoa tuu.

Nimarufuku nimkute mke wangu anasafishiwa kucha/miguu na wasafisha kucha, ananijua hawezi kuthubutu.

Mimi mda wa kurudi nyumban haujulikani sina ratiba maalum, kwa kifupi ratiba zangu mkewangu haelewi na sitaki aelewe.

Mimi kuchukua simu yake na kuondoka nayo ni jambo la kawaida, alafu ni kosa nikute kaunga kifurushi cha Sms kwenye simu yake.

Nimefanya haya na mengine na nimeweza kwa kiwango kikubwa, na mkewangu amechukulia km ni utaratibu wa ndoa. Sifanyi kumkatili lkn najua mwanamke usipomuendesha atakuendesha.
Shikilia hapo hapo. Ila likitokea lolote ujue ni ajali tu
 
Back
Top Bottom