Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama.
Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na wanaomchukia so hairuhusiwi kwa askari magereza kuruhusu watu kumpa chakula mfungwa au Mahabusu awapo kizuizini.
Vijana mtu anapokua Jela msifikiri labda atakula Visinia na Mbuzi foili kama uraiani hapana
Mfungwa na Mahabusu kwa Tanzania atakula uji usio na sukari Ugali wa dona na Maharage ikitokea Chakula kingine kama wali maharage kwa mwezi mara moja na Nyama kwa mwezi mara moja ni favour tuu
Tunavyowambia mtulie muwe mnaelewa