Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama.
Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na wanaomchukia so hairuhusiwi kwa askari magereza kuruhusu watu kumpa chakula mfungwa au Mahabusu awapo kizuizini.
Vijana mtu anapokua Jela msifikiri labda atakula Visinia na Mbuzi foili kama uraiani hapana
Mfungwa na Mahabusu kwa Tanzania atakula uji usio na sukari Ugali wa dona na Maharage ikitokea Chakula kingine kama wali maharage kwa mwezi mara moja na Nyama kwa mwezi mara moja ni favour tuu
Tunavyowambia mtulie muwe mnaelewa
Mapapai mabovu yamekuwa mengi sana JF. Kila siku yanaibuka tu.
Stupid guy.Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama.
Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na wanaomchukia so hairuhusiwi kwa askari magereza kuruhusu watu kumpa chakula mfungwa au Mahabusu awapo kizuizini.
Vijana mtu anapokua Jela msifikiri labda atakula Visinia na Mbuzi foili kama uraiani hapana
Mfungwa na Mahabusu kwa Tanzania atakula uji usio na sukari Ugali wa dona na Maharage ikitokea Chakula kingine kama wali maharage kwa mwezi mara moja na Nyama kwa mwezi mara moja ni favour tuu
Tunavyowambia mtulie muwe mnaelewa
Mkuu,kawanini uji usio na sukari? Hii ni mojawapo ya adhabu pia? Naomba kueleweshwa.Mfungwa na Mahabusu kwa Tanzania atakula uji usio na sukari Ugali wa dona na Maharage
Mkuu,aina ya vyakula wanavyopewa wafungwa hua ni sehemu ya adhabu pia?ikitokea Chakula kingine kama wali maharage kwa mwezi mara moja na Nyama kwa mwezi mara moja ni favour tuu
Mbona taratibu nyingine hazifuatwi?Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama.
Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na wanaomchukia so hairuhusiwi kwa askari magereza kuruhusu watu kumpa chakula mfungwa au Mahabusu awapo kizuizini.
Vijana mtu anapokua Jela msifikiri labda atakula Visinia na Mbuzi foili kama uraiani hapana
Mfungwa na Mahabusu kwa Tanzania atakula uji usio na sukari Ugali wa dona na Maharage ikitokea Chakula kingine kama wali maharage kwa mwezi mara moja na Nyama kwa mwezi mara moja ni favour tuu
Tunavyowambia mtulie muwe mnaelewa
Mtu anaruhusiwa kutembelewa na Ndugu Jumamosi na Jumapili na HolidayMbona taratibu nyingine hazifuatwi?
Mfano kutembelewa na ndugu zake, viongozi wa chama chake na maongezi baina yake na mawakili wake kuwa ya siri kama sheria na taratibu za magereza zinavyoelekeza.
PSO ni nyaraka ya kiserikali Tundu Lissu mwenyewe Hana mimi sina Privilege ya kuwa nayoKwanini usituwekee hapa iyo "Prison Service Order (PSO)" ambayo wewe umeisoma na sisi tuisome?
Zamani JF, mtu akileta uzi kama wako, amabao unahusu sheria/orders/procedures anaweka viambatanishi na wote tunaelimika.
Tuliongozwa na kauli hii "Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako" 😁
MpumbavuWadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama.
Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na wanaomchukia so hairuhusiwi kwa askari magereza kuruhusu watu kumpa chakula mfungwa au Mahabusu awapo kizuizini.
Vijana mtu anapokua Jela msifikiri labda atakula Visinia na Mbuzi foili kama uraiani hapana
Mfungwa na Mahabusu kwa Tanzania atakula uji usio na sukari Ugali wa dona na Maharage ikitokea Chakula kingine kama wali maharage kwa mwezi mara moja na Nyama kwa mwezi mara moja ni favour tuu
Tunavyowambia mtulie muwe mnaelewa
Sasa kwa wewe kuweka huu uzi tutathibitishaje maneno yako angali hatuwezi kuiona hiyo PSO?PSO ni nyaraka ya kiserikali Tundu Lissu mwenyewe Hana
Acha ujuaji wa kijinga kwa mambo usiyokuwa na uelewa nayo.Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama.
Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na wanaomchukia so hairuhusiwi kwa askari magereza kuruhusu watu kumpa chakula mfungwa au Mahabusu awapo kizuizini.
Vijana mtu anapokua Jela msifikiri labda atakula Visinia na Mbuzi foili kama uraiani hapana
Mfungwa na Mahabusu kwa Tanzania atakula uji usio na sukari Ugali wa dona na Maharage ikitokea Chakula kingine kama wali maharage kwa mwezi mara moja na Nyama kwa mwezi mara moja ni favour tuu
Tunavyowambia mtulie muwe mnaelewa
Hata sijachanganya huko huko gerezani wanapelekeaga misosi!Acha kuchanganya Mahabusu ya Polisi na Gerezani!
Mtu huyu ni mpumbavu na wakupuuzwa kabisa. Kama anaweza kupiga picha kinyesi chale mwenyewe na kupost mitandaoni . Alifanya hivyo hapo Jana. Inategemea nn Toka kwake?Kwanini usituwekee hapa iyo "Prison Service Order (PSO)" ambayo wewe umeisoma na sisi tuisome?
Zamani JF, mtu akileta uzi kama wako, amabao unahusu sheria/orders/procedures anaweka viambatanishi na wote tunaelimika.
Tuliongozwa na kauli hii "Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako" 😁
Akili Yako ndogo wewe hata kufikia kupiga picha mavi Yako mwenyewe na kupost mitandaoni. Uliweka kinyesi chako hapa Jana.Siko hapa kukufurahisha au kukupa matumaini yoyote jamaa chamoto anakiona kule!