Utaratibu wa PSO Mahabusu na Wafungwa watakula Chakula Gerezani

Unataka kusema.hata majaji hyo sheria hawaijui?

Kama wanaijjua kwanini walimruhusu TAL akale kwanza ndipo kesi iendelee

Hii kesi mh TAL anataka kuonesha tu jinsi mfumo wa hak unavyosiginwa na wasiojua.sheria

Kwa TAL.kwake kula s shida zake ila.vp kuhusu wafungwa wengne wanapata hyo hak ya kula ?

INAFIKIRISHA SANA

TAL is stronger than yesterday
 
Kwa hiyo ile break ya dakika 20 leo ilitolewa ili apelekwe gerazani kwenda kula?
 
Jaji na wamasheria wa serekali inaokana wamevurugwa hadi hawajui hii sheria unayoisema wewe. Vinginevyo Jaji ama mawakili wa serekali wangeisema sheria hii unayotaka tuiamini. Lakini badala yake walisema apewe chakula maana ni haki yake.
 
Hajui hata hiyo PSO mleta Uzi. .Fumbua wewe Uelewa wako Kwa kumpuuza tu.
 
Lengo la Lissu ni kuhakikisha kwamba anauthibitishia ulimwengu kwamba hii nchi ina sheria mbovu na za hovyo.
 
Ficha huu upumbavu mnaodanganyana na wapuuzi wenzio huko jela huku mkijiita Askari. Wafungwa wanaochukuliwa na Polisi kufanya Usafi huwa wanakula Polisi, mahabusu wanapokuwa mahakamani wanapewa vitu na ndugu zào kikiwemo chakula hiyo PSO huwa iko likizo?
 
Labda unazani hutakuja kuingia gerezani,waulize kina manji
 
Nadhani taarifa ya Magereza utakua umeisoma
 
Hivi kwa mfano wewe ukipata kaupenyo nini utafanya?Ila pia kama msiompenda mpo na kesi mchongo mmempa si mngempa na chakula kabisa ili chuki yenu iishe?
 
Kwani Lissu ni mfungwa au mahabusu? Kama ni mfungwa alihukumiwa lini?
 
Kwani Lissu ni mfungwa au mahabusu? Kama ni mfungwa alihukumiwa lini?
Mfungwa na Mahabusu wanatofautiana sare tuu na wafungwa wanafanya kazi mahabusu unashinda umekalia ndoo mpaka saa kumi mda wa kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…