Tabia ya watanzania kupuuza mambo ya msingi huwafanya watu wrngine wajione wanamamlaka ya kufanya kila kitu.
Ninapoona mwenye mamlaka anayatumia vibaya ndipo huwa nakumbuka faida za ushirikina zilizotumiwa na mababu wa kale kunyooshana!
Kumekuwepo na tabia chafu sana za ubabe barabarani kwa magari ya majeshi na yale ya viongozi!
Sheria ya viongozi inafahamika wazi na misafara ya viongozi inasimamiwa na polisi wa usalama barabarani hilo liko wazi.
Lakini kuna watu kwa kiburi cha dhamana za kijeshi au vyeo basi wamekuwa na tabia za hovyo sana wanapotumia barabara!
Mfano!
Kulikuwa na msafara wa magari kama 7 ya wanajeshi wiki hii (Mabasi makubwa na maroli na gari dogo wakisafiri) barabarani
Kitu cha ajabu hawa wanajeshi hawa hawakutaka mtu awapite, yaani ukitaka kupita wanakupiga na rungu la kioo, au roli linakupelekea kukugonga!
Ebu fikilia kwa mwendo wao wa maroli mtu ukae nyuma nyuma pasipo kuwapita safari za mkoa utafika saa ngapi?
Huo ubabe wa kupigapiga marungu magari ya raia barabarani unafaida gani kwa wao kuwa ni jeshi la wananchi?
Tunaomba serikali hasa majeshi yetu watuambie je ni haki wao kufanya ubabe usio na maana barabarani kwa watumiaji wengine wa barabara?
Wananchi tunalipa kodi ili majeshi wanunue magari lakini baadhi yao wanakuja kutuvimbia barabarani kwa fujo kwa sheria gani?
Mkishindwa kuwaonya kama serikali tutaanza kuwaroga kila siku magari ya kijeshi yapinduke huko yawaue!
Haiwezekani badalanyankupeleka ubabe huko M23 mnatuletea ubabe Raia ambao ni wema. tena tunaowaombea kwa Mungu atuepushie na vita.