Utaratibu wa unyampara kwenye matumizi ya barabara zetu umekithili, Viongozi na magari ya majeshi waelekezwe matumizi ya barabara

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Tabia ya watanzania kupuuza mambo ya msingi huwafanya watu wrngine wajione wanamamlaka ya kufanya kila kitu.

Ninapoona mwenye mamlaka anayatumia vibaya ndipo huwa nakumbuka faida za ushirikina zilizotumiwa na mababu wa kale kunyooshana!

Kumekuwepo na tabia chafu sana za ubabe barabarani kwa magari ya majeshi na yale ya viongozi!

Sheria ya viongozi inafahamika wazi na misafara ya viongozi inasimamiwa na polisi wa usalama barabarani hilo liko wazi.

Lakini kuna watu kwa kiburi cha dhamana za kijeshi au vyeo basi wamekuwa na tabia za hovyo sana wanapotumia barabara!

Mfano!
Kulikuwa na msafara wa magari kama 7 ya wanajeshi wiki hii (Mabasi makubwa na maroli na gari dogo wakisafiri) barabarani

Kitu cha ajabu hawa wanajeshi hawa hawakutaka mtu awapite, yaani ukitaka kupita wanakupiga na rungu la kioo, au roli linakupelekea kukugonga!
Ebu fikilia kwa mwendo wao wa maroli mtu ukae nyuma nyuma pasipo kuwapita safari za mkoa utafika saa ngapi?

Huo ubabe wa kupigapiga marungu magari ya raia barabarani unafaida gani kwa wao kuwa ni jeshi la wananchi?

Tunaomba serikali hasa majeshi yetu watuambie je ni haki wao kufanya ubabe usio na maana barabarani kwa watumiaji wengine wa barabara?

Wananchi tunalipa kodi ili majeshi wanunue magari lakini baadhi yao wanakuja kutuvimbia barabarani kwa fujo kwa sheria gani?

Mkishindwa kuwaonya kama serikali tutaanza kuwaroga kila siku magari ya kijeshi yapinduke huko yawaue!

Haiwezekani badalanyankupeleka ubabe huko M23 mnatuletea ubabe Raia ambao ni wema. tena tunaowaombea kwa Mungu atuepushie na vita.
 
Hiyo ni kero ndogo sana ktk jeshi letu tukufu na tukuka kabisa,usipende kulitia doa jeshi letu. Niambie je haukuwapita mpaka mwisho wa safari yako?
 
Sasa unawapitaje kwa fujo hizo wanapasua vioo vya magari ya watu
 
No comment. It's a wonderful weekend here!
 
Mzee tulikutana nao Babati hao wana madude hayo..tena ilikuwa kwenye zile kona kona ndio zinaanza.
Kilq ukitaka kupita wanazuia..kila ukiomba hola.
Hahahaaa..kuna upenyo ulipatikana waliona vumbi tu la lami.
 
Tabia ya watanzania kupuuza mambo ya msingi huwafanya watu wrngine wajione wanamamlaka ya kufanya kila kitu.

Ninapoona mwenye mamlaka anayatumia vibaya ndipo huwa nakumbuka faida za ushirikina zilizotumiwa na mababu wa kale kunyooshana!

Kumekuwepo na tabia chafu sana za ubabe barabarani kwa magari ya majeshi na yale ya viongozi!

Sheria ya viongozi inafahamika wazi na misafara ya viongozi inasimamiwa na polisi wa usalama barabarani hilo liko wazi.

Lakini kuna watu kwa kiburi cha dhamana za kijeshi au vyeo basi wamekuwa na tabia za hovyo sana wanapotumia barabara!

Mfano!
Kulikuwa na msafara wa magari kama 7 ya wanajeshi wiki hii (Mabasi makubwa na maroli na gari dogo wakisafiri) barabarani

Kitu cha ajabu hawa wanajeshi hawa hawakutaka mtu awapite, yaani ukitaka kupita wanakupiga na rungu la kioo, au roli linakupelekea kukugonga!
Ebu fikilia kwa mwendo wao wa maroli mtu ukae nyuma nyuma pasipo kuwapita safari za mkoa utafika saa ngapi?

Huo ubabe wa kupigapiga marungu magari ya raia barabarani unafaida gani kwa wao kuwa ni jeshi la wananchi?

Tunaomba serikali hasa majeshi yetu watuambie je ni haki wao kufanya ubabe usio na maana barabarani kwa watumiaji wengine wa barabara?

Wananchi tunalipa kodi ili majeshi wanunue magari lakini baadhi yao wanakuja kutuvimbia barabarani kwa fujo kwa sheria gani?

Mkishindwa kuwaonya kama serikali tutaanza kuwaroga kila siku magari ya kijeshi yapinduke huko yawaue!

Haiwezekani badalanyankupeleka ubabe huko M23 mnatuletea ubabe Raia ambao ni wema. tena tunaowaombea kwa Mungu atuepushie na vita.
Niliwaona hawa mlimani city,kulikuwana vijana wawili maMP kwa muonekano tu wanaonekana hawana adabu wala hekima,walishuka kwenye roli lao wakiwa wameshika marungu na kuanza kuforce kupita kwenye foleni kibabe na kitemi.Tunajua kwamb magari ya jeshi na Ambulance na zimamoto yanaweza kuescape foleni lakini sio kwa namna waliyokuwa wanatumia wale jamaa
 
Waziri wa ulinzi ni nani anaitwa huku aje kujibu huku kabla ya oktoba
Anawaangalia kwa umakini msiwe na wasi wasi
1000021885.jpg
 
kila mwenye kujikweza kibriyai bas na ataporomoka tu no matter what. sabab kibrri (Kibr means to be arrogant; to think of oneself better than others, & Takabbur means to act )
you shall be doomed either eay unless you humble yourself. chungguza mwisho wa wote wanajiona ona upoje
 
Niliwaona hawa mlimani city,kulikuwana vijana wawili maMP kwa muonekano tu wanaonekana hawana adabu wala hekima,walishuka kwenye roli lao wakiwa wameshika marungu na kuanza kuforce kupita kwenye foleni kibabe na kitemi.Tunajua kwamb magari ya jeshi na Ambulance na zimamoto yanaweza kuescape foleni lakini sio kwa namna waliyokuwa wanatumia wale jamaa
Wanafanya hayo na viongozi hawasemi kitu lakin Raia wakijibu inakuwa nongwa! Mnakumbuka yule meja alichomwa bisibisi la tumbo kule kawe kwasababu ya utemi?
 
Tabia ya watanzania kupuuza mambo ya msingi huwafanya watu wrngine wajione wanamamlaka ya kufanya kila kitu.

Ninapoona mwenye mamlaka anayatumia vibaya ndipo huwa nakumbuka faida za ushirikina zilizotumiwa na mababu wa kale kunyooshana!

Kumekuwepo na tabia chafu sana za ubabe barabarani kwa magari ya majeshi na yale ya viongozi!

Sheria ya viongozi inafahamika wazi na misafara ya viongozi inasimamiwa na polisi wa usalama barabarani hilo liko wazi.

Lakini kuna watu kwa kiburi cha dhamana za kijeshi au vyeo basi wamekuwa na tabia za hovyo sana wanapotumia barabara!

Mfano!
Kulikuwa na msafara wa magari kama 7 ya wanajeshi wiki hii (Mabasi makubwa na maroli na gari dogo wakisafiri) barabarani

Kitu cha ajabu hawa wanajeshi hawa hawakutaka mtu awapite, yaani ukitaka kupita wanakupiga na rungu la kioo, au roli linakupelekea kukugonga!
Ebu fikilia kwa mwendo wao wa maroli mtu ukae nyuma nyuma pasipo kuwapita safari za mkoa utafika saa ngapi?

Huo ubabe wa kupigapiga marungu magari ya raia barabarani unafaida gani kwa wao kuwa ni jeshi la wananchi?

Tunaomba serikali hasa majeshi yetu watuambie je ni haki wao kufanya ubabe usio na maana barabarani kwa watumiaji wengine wa barabara?

Wananchi tunalipa kodi ili majeshi wanunue magari lakini baadhi yao wanakuja kutuvimbia barabarani kwa fujo kwa sheria gani?

Mkishindwa kuwaonya kama serikali tutaanza kuwaroga kila siku magari ya kijeshi yapinduke huko yawaue!

Haiwezekani badalanyankupeleka ubabe huko M23 mnatuletea ubabe Raia ambao ni wema. tena tunaowaombea kwa Mungu atuepushie na vita.
Usishindane na STD VII na Form 4 failure mkuu utaumia. Aina hii ya watu wengi wao hutumia nguvu kuliko akili. Ukitaka ku-prove ngoja traffic akukamate halafu umuongeleshe Kingereza uone. Hata kama alikuwa na nia ya kukusamehe atakuandikia mikeka hata 7@30,000
 
Back
Top Bottom