Utaratibu wa wafiwa kuwalisha waombolezaji wengine umerasimishwa Tanzania?

Wabongo ustaarabu hatuna
Yaan tulifiwa jamani tukazika watu wanakuja muda wa chakula unaona wamejaa,wakimaliza kula wanapotea ikifika muda wa kula hao ilibidi tutangaze walivyomaliza kula kuwa msiba umeisha tunawashukuru sana [emoji23][emoji23][emoji23] tukafunga na milango ya geti lasivyo wangeendelea kuja
 
Usipowalisha ndio utajua wamekuja zika au kula. Yaani ni lawama Kila sehemu. Jamaa alifanya kusudi akawalisha wali Chinese na ana uwezo mkubwa wa kupika nyama, hawakumchelewesha walimfuata na kumpaka pale pale kabla ya maziko, ilibidi wengine tuangue kicheko huku pembeni wanalalamika siku nyingine akitulisha majani kama mbuzi hatuji tena
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 msilete masihara na maisha nyie!!!

Yani Fogo mmepaki ma Vieite utulishe wali chainizi dharau gani hizi?😅
 
Wabongo ustaarabu hatuna
Yaan tulifiwa jamani tukazika watu wanakuja muda wa chakula unaona wamejaa,wakimaliza kula wanapotea ikifika muda wa kula hao ilibidi tutangaze walivyomaliza kula kuwa msiba umeisha tunawashukuru sana [emoji23][emoji23][emoji23] tukafunga na milango ya geti lasivyo wangeendelea kuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo ustaarabu hatuna
Yaan tulifiwa jamani tukazika watu wanakuja muda wa chakula unaona wamejaa,wakimaliza kula wanapotea ikifika muda wa kula hao ilibidi tutangaze walivyomaliza kula kuwa msiba umeisha tunawashukuru sana [emoji23][emoji23][emoji23] tukafunga na milango ya geti lasivyo wangeendelea kuja
Mkishazika mnatakiwa kutoa taarifa mkaburini kama kuna matanga au lah au Tangandugu.
 
Huu upumbavu sijui kwanini tunaulea!.

Sijui tufanye nini ili hii hali iishe maana inatesa sana!
Na hapo wamekuja rundo hawana hata rambirambi wamefuata nguo za marehemu, nilizigawa kwa hao ndugu na nauli nikawapa.

Mkuu acha tuyaache.

Tamaduni nyingi nu.za.kutupa hata kuchangushana harusini pia si sawa
 
Huwa naumia sana,halafu unakuta hata hayana aibu![emoji45][emoji45]
 
Wabongo ustaarabu hatuna
Yaan tulifiwa jamani tukazika watu wanakuja muda wa chakula unaona wamejaa,wakimaliza kula wanapotea ikifika muda wa kula hao ilibidi tutangaze walivyomaliza kula kuwa msiba umeisha tunawashukuru sana [emoji23][emoji23][emoji23] tukafunga na milango ya geti lasivyo wangeendelea kuja
Uchoyo tu kama chakula kipo wapeni watu wale
 
Back
Top Bottom