Mazishi ni kazi yako,haituhusu
Tunakuja kukupa emotional support
Hadi waliaji ni bora ukakodishe
Nani kakwambia watu wanapokuja msibani kwako wanapokula ni kwamba wana njaa sana na hicho chakula chako?
Maana unasahau kati ya siku 365 wamkula kwako siku moja,hizo siku 364 unawalisha wewe?
Kifo ni issue personal kwako,hakuna mtu akusaidie lolote,wanakusaidia sababu tu wametaka,hawana incentive yeyote kusaidia wewe lolote na msiba wako.
Na wanapokuja mazishini nani kakwambia uwape chakula au unajipendekeza tu kuwapa?
Chakula uwape wewe then uje hapa kulalamika eti wamekula?
Nani kakwambia uwape to begin with?