Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
kwani kifo na sherehe Kuna tofauti gani, kifo hakuna maandalizi Lakini sherehe zinamaandalizi, kwa hiyo sherehe Zina kafaraVingi vya vyakula vinavyoliwa kwenyi baadhi ya misiba(mingi) ni kafara.
Baadhi yavyo ni maelekezo ya kishirikina yaliyoelekezwa kwa wanufaika na kifo cha mhusika.
Sisemi yote ila baadhi. Na katika hii baadhi kama wewe ni mgeni kwani ugeni wako ni mwaliko wa harusini hata uhudumiwe kwa vyakula? Kama kuna ulazima wa kula kwa nini kila mtu asiende na chakula chake?