[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chakula chochote cha shughulini kina.ladha ya tofauti [emoji3][emoji3], nimeamua nisijiendekeze nikienda kwenye mgao naomba kachumbali tu tena nione ilivyotengenezwa vinginevyo sili nakula kidogo sana labda tonge mbili basi, hiki chakula ukikizoea unaweza kuwa na tabia ya kutafuta maturubai yalipotundikwa ukakunje mguu na kapilipili na ndiziI yako mfukoni [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta "Mijitu" inaenda misibani kwa ajili ya kula tu,ikishakula hiyoooooo inalala mbele!,hata aibu haioni!,unakuta jitu badala liende hata ndani kusalimia wafiwa lenyewe linakomea getini linapiga msosi halafu linalala mbele!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo wangu walimwambiwa kamuua baba ili avae viatu msibani akawaambia "nisubirini kidogo nakuja wakajua wanaletewa hela za utani jamaa katoka na panga na utani iliisha palepale, Hadi sasa wanamwita mapanga
Nmekumbka kaka angu alimuwasha vibao mtani kisa alikua anamsumbua baba kutaka pesa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utani wa pesa
VitunguuBora wale halafu watulie basi, wengine wakishashiba wanaiba nyama, maandazi, wali wanapelekewa watoto home😀
Hahahah noma sana misiba ya akina bwasheeMsiba wa kichaga nlishangaa watu wanapiga hadi vigele gele lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unataka mtulishe michicha wakati marehemu kaacha magorofa kariakoo???Vitunguu
Yaan ila watu msiban wanapenda nyama jamani sijui ni adimu sana nyumbani hakuna uhakika wa kupata nadhan
Misiba ya maskin watu hatuendi jamani 😥😥Sasa unataka mtulishe michicha wakati marehemu kaacha magorofa kariakoo???
Hahahahah wakienda majiran inatosha😅Misiba ya maskin watu hatuendi jamani 😥😥
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nlikua nahuzunika huku nafuta machozi, wenzangu ndo kwanza nyama choma na soda na pombe lolHahahah noma sana misiba ya akina bwashee
Alikuwa anahitaji pesa 😬😬
Mimi sitakiii kabisa huu ujinga unao itwa utani 😬😬Bora huyo mtani wenu kuna mwingine alitaka kuchukua mke eti utani aisee. kwamba Marehemu kamuachia mke halafu jamaa yupo serious balaa
Mkuu kwa hiyo kwa tafsiri yako msiba ni sikukuu?,hebu nieleweshe kidogoMwanadamu ana sikukuu kuu tatu.
1. Kuzaliwa
2. Kuoa au kuolewa (japo zi wote wanaobahatika kusherehekea sikukuu hii)
3. Kufa
Hivyo chakula ni muhimu kwa sababu ni sikukuu kwa huyo aliyeondoka. Sasa sikukuu unataka nani achangie tena?? ninavyojua watu wanaokuja msibani huwa wanachanga kiasi. Cha maana misiba isiwe ya siku nyingi
Tulienda zika binamu yetu huko sengerema, aisee si watani wakazuia jeneza lisiingie kaburini. Yani mmewe alikuwa anauchungu wao wanaleta mzaha. Nilitamani ningekuwa na gobore nimpige mtu shaba ya kalioAlikuwa anahitaji pesa 😬😬
Wanakera kichenziiiTulienda zika binamu yetu huko sengerema, aisee si watani wakazuia jeneza lisiingie kaburini. Yani mmewe alikuwa anauchungu wao wanaleta mzaha. Nilitamani jingekuwa na gobore nimpige mtu shaba ya kalio
Ni sikukuu mheshimiwa. Japo anayefanyiwa sikukuu haioni au hashiriki, sawa na ya kuzaliwa hajui wala hatokumbuka labda ataonyeshwa pichaMkuu kwa hiyo kwa tafsiri yako msiba ni sikukuu?,hebu nieleweshe kidogo
Vitunguu
Yaan ila watu msiban wanapenda nyama jamani sijui ni adimu sana nyumbani hakuna uhakika wa kupata nadhan
Hivi umeilewa hoja mkuu au umekurupushwa kwenye harakati za kufumaniwa unataka hasira umalizie hapa?Mazishi ni kazi yako,haituhusu
Tunakuja kukupa emotional support
Hadi waliaji ni bora ukakodishe
Nani kakwambia watu wanapokuja msibani kwako wanapokula ni kwamba wana njaa sana na hicho chakula chako?
Maana unasahau kati ya siku 365 wamkula kwako siku moja,hizo siku 364 unawalisha wewe?
Kifo ni issue personal kwako,hakuna mtu akusaidie lolote,wanakusaidia sababu tu wametaka,hawana incentive yeyote kusaidia wewe lolote na msiba wako.
Na wanapokuja mazishini nani kakwambia uwape chakula au unajipendekeza tu kuwapa?
Chakula uwape wewe then uje hapa kulalamika eti wamekula?
Nani kakwambia uwape to begin with?