and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
CCM siyo wajinga, walishindwa kuwapa wenyeviti wa vitongoji waje wawape madiwani na wabunge? thubutuKimchezo mchezo utashangaa jamaa wa Ubwabwa na wale wa Dalali wamejaziwa kura milioni 3 kila mmoja. Hii michezo aise raha sana.
Na itakua halali maana chadema c hamtopiga kuraCcm na ujinga wao wote ila kwenye kura hawamwachii mtu. Watashinda kwa asilimia 92%
Hata iwapo wakipewa bunge shauri yaoccmKimchezo mchezo utashangaa jamaa wa Ubwabwa na wale wa Dalali wamejaziwa kura milioni 3 kila mmoja. Hii michezo aise raha sana.
Safi sanaHata iwapo wakipewa bunge shauri yaoccm