greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
why unakimbia ukweli,Upeo wako ndugu mbona upo kwenye scope ndogo sana? Ni kama macho yako yanaona moja kwa moja pale ulipo tu na jamii inayokuzunguka. Swala limekuwa mada kila sehemu halafu unasema hakuna utata.mawazo ya ubinafsi kabisa kwa kudhani kila mtu anaona sahihi kama wewe unavyoona.ni sawa na mtu aliyeshiba sana kuona mtu anayeenda kula ni kama mjinga
Watanzania wengi hawataki kutumia mda wao wa free kujifunza vitu vya msingi na wengine wakizani elimu ya fani zao za chuo zinatosha.
Hapo nenda mtaani uliza watu juu ya Hisa au Hati fungani, halafu uliza watu juu ya mambo ya Mamelodi na malipo ya wacheza mpira.
Kupanga ni kuamua,Tuache kuwa jamii ya kulalamika, kwasasa maarifa ya kila jambo yapo yanapatikana mtandaoni, ni suala mtu kuamua kujifunza ama kutojifunza.
Jamii hiyo hiyo unajua
-hesabu zote za kubet
-sheria na facts zote za mpira
-umbea wote unaondelea duniani.
Ukiona elimu gharama, Jaribu ujinga.