Mkataba uwekwe wazi,tujue mbichi na mbivu
Mkataba uwekwe wazi.
spika alisikikia akisema mradi una TIJA na kwamba hata nchi za Singapore wanafanya vyema for that case. That is good and fine, but it does not pattern to most of us kwa sababu miaka 5 ya awali ilioneshwa mradi huu ni ANGAMIZI.
Bila kutoa ufafanuzi wa kusimamishwa awali, leo tunaambiwa ni mradi wenye Tija.
Huyu SPIKa Anatakiwa kukaa kando. Hata hizi Safi za kumpamba Rais wa sasa bila hata ya kuwa na implementation yoyote on table tunajua makundi nyuma ya pazia.
Lakini sote kwa pamoja tunakubali kwamba miradi yote inayoendelea hivi sasa ni Brain behind JPM. No one is perfect but JPM was really kwa manufaa ya taifa and in the process , ni kweli wengi tuliumia kwa kuwa na hali ya kawaida kimaisha kwa, hatukuwa tumezoea kuishi kwa kulipa kodi, kutimuliwa kwa vyeti vyetu fake huku tukiwa na familia etc etc ..... but was it bad ? Je Kuna nchi inakuwa na staff wenye vyeti fake na kulipa mishahara marehemu ? Au wafanyabiashara kutolipa kodi?
All these stuff were the spark that created the big fire [emoji91] na kugharimu maisha ya JPM
Inastusha kuona leo hii JPM anapigwa vijembe na watendaji wake wale wale. Inastusha sana
Eti Report ya CAG , Report my foot. Ingieni Report ya CAG 2012/13 to 2014, and come here to tell us kuna tofauti gani .
Living is easy with eyes closed..... misunderstanding all you see - The Beatles