Destruction
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 260
- 418
Mgongo ana matatizo ya akili. sio story ni mambo yanafahamika kabisaNilishangaa watu kumpa mgogo bunge, mgogo huwa hana msimamo, anaweza kukukaribisha mtu baki am satisfy mkewe ili apate chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgongo ana matatizo ya akili. sio story ni mambo yanafahamika kabisaNilishangaa watu kumpa mgogo bunge, mgogo huwa hana msimamo, anaweza kukukaribisha mtu baki am satisfy mkewe ili apate chochote
Nimeisoma imejaa usanii mtupuHii ina Uongo ndani yake
msijitoe ufahamu nyie jitu life na maukimwi yake huko mje mtujazie thread hapa kwanza kwa taarifa yenu ingekua nchi nyingine huko huo urais angeusikia kwenye redio limtu lina migonjwa yote mikubwa hadi moyo unasukumwa na mabetri bado likalazimishiwa urais leo mtu ana akili kama chalamila anatoa povu mxiiiuuuu
mlamba matako wa kigogomsijitoe ufahamu nyie jitu life na maukimwi yake huko mje mtujazie thread hapa kwanza kwa taarifa yenu ingekua nchi nyingine huko huo urais angeusikia kwenye redio limtu lina migonjwa yote mikubwa hadi moyo unasukumwa na mabetri bado likalazimishiwa urais leo mtu ana akili kama chalamila anatoa povu mxiiiuuuu
Franklin Roosevelt alikuwa mlemavu anatembea na Magogo au WheelchairUnao uthibitisho ana magonjwa yote makubwa unayo yasema ?.
Pacemaker ni kifaa cha kawaida sana na wala sio ishu katika kuongoza taifa.
Maraisi na viongozi wengi tuu duniani wanaumwa Cardiovascular Diseases unajua hilo ? ?
Ni bora pacemaker kuliko kuwa raisii kiwete, Raisi wa wapi uliona anatembea na magongo ?
Unao uthibitisho ana magonjwa yote makubwa unayo yasema ?.
Pacemaker ni kifaa cha kawaida sana na wala sio ishu katika kuongoza taifa.
Maraisi na viongozi wengi tuu duniani wanaumwa Cardiovascular Diseases unajua hilo ? ?
Ni bora pacemaker kuliko kuwa raisii kiwete, Raisi wa wapi uliona anatembea na magongo ?
Open mind ambayo huwezi hata kuona dalili ya mvua kuwa ni mawingu? mimi hoja yangu kubwa hapa ni suala la mtu kuwa na afya mgogoro na kupewa madaraka makubwa ya nchi yanayohitaji utulivu na umakini wa hali ya juu kisaikolojia na pia kiakili mentally ,Kijana, hoja hupingwa kwa hoja. Tumesema Tangu mwanzo, this discussion needs open mind
Nowdays strong minds discuss personal issues ndio maana uwaoni kwa sasa, kama wapo wamefungwa midomo pengine kwa sababu za usaliti na uzandiki wao.Hata Kifo cha JFK awali ilisemekana ni allegations tu na Conspiracy theory. Kwa Sasa kila mtu anajua kuwa Kennedy was assassinated tena kwa msaada wa watendaji wake waliompangia safari na kuiratibu. Alikuwa assassin kwa sababu aligusa interest za establishments
Haya mambo needs strong mind to discuss
Why JPM hakuuweka wazi huo mkataba ili na raia wauzoom?.Ule mkataba wa ujenzi wa mradi wa bagamoyo si ulivunjwa na Mh JPM ?.
Na alitueleza sababu zilizokua za msingi juu ya alicho kifanya
Hawa wanaopigia debe wanaweza kutuambia kwamba, je alicho sema JPM ni Uongo na kama Ni Uongo Ukweli ni Upi
Huoni kama now watu tunaishi kama hakuna Corona.
Je, CAG kutoka hadharani kipindi hiki na kutoa hayo tunayoyasikia it means alikuwa na Taarifa 2 . Sasa hii Taarifa ya 2 ndio anatumia kumchafua JPM kwa maagizo ya mabwana.
Muda utaongea
1. Vyombo vya Habari viwe Uhuru ili watanzania ambao walikuwa kwenye kifungo cha miaka 5 dhidi ya uhuru wao wa kutoa maoni wawe uhuru kujadili miradi isiyokuwa na uwazi kwa Taifa la Tanzania.
2. Tumeshuhudia Kifo cha JPM ambacho kina utata mwingi na maswali mengi yasiyojibika. Baada ya kifo hiki hata zile speed za Corona this Corona that hatuzisikii tena, badala yake maisha yanaenda kama kawaida....kwa wenye kutafakari hii inatupa TAFSIRI kubwa sana. Lakini muda ndiyo HAKIMU wa Kweli.
View attachment 1750423
View attachment 1750424
3. Mradi wa Bagamoyo ambao unapigiwa debe kwa sasa ni miongoni mwa miradi ambayo ndani yake ulikuwa na vipengele ANGAMIZI kwa taifa la Tanzania. JPM aliusimamisha mradi huu pamoja na miradi mingi ya NSSF kwa kushirikiana na wataalam wake na miongoni mwa hao wataalam ni hawa wanaopigia debe mradi huu kwa sasa.
4. Sisi kama wananchi, Tulitarajia kuona maelezo ya awali kutoka kwa SPIKA kwanini mradi huu ulisimamishwa kama ulikuwa na TIJA katika taifa letu huku yeye akiwa ni sehemu ya serikali iliyosimamisha huo mradi.
5. Tulitarajia kuona DISCUSSION ya kwanza ya huu mradi ni wananchi kuuelewa na kuona je kuna ulazima wa huu mradi, faida na hasara zake juu ya Taifa Hilo. Ielezwe pia Why Bagamoyo ? Je ni sehemu pekee yenye mlango mpana kwa TZ ?
6. Ijadiliwe terms za Procuring entity dhidi ya Supplier, tuone je zinafaida kwa taifa letu au ni hasara za long term kama tunavoona hasara za mwendo kasi na majumba yaliyogeuka kuwa magofu ya NSSF Huko Kigamboni.
Tunamsikia spika anaanza kuwa na defensive speech kuwa HAKUNA ANAYETAKA KUUZA NCHI!
Are we stupid or what ?
Why did he jump into that conclusion wakati wananchi wanahitaji kuelewa kwanza[emoji845]this is very immature kwenye majadiliano ya HOJA hasa kwa maslaha ya Taifa.
There is something fishy nyuma ya hii ishu na kuna watu wanaanza kujisogeza kwenye position zao japo wapo kimya.
7. Tunajua mradi huu ulikuwa ni dili la awamu ya 4 na serikali ya China ambapo kwa sasa ameshaanza kujisogeza baada ya kifo cha JPM.
View attachment 1750421
Swali la msingi ni Procurement Proceedures gani zilitumika kumpendekeza huyu Mtu ? Je Procurement Act dhidi ya Public Private Partnership inasema nini ?
Tunapiga kelele na CAG report ya sasa, kuna Mtanzania aliyesoma CAG report ya 2013/2014. Pitieni huko kwanza ndio mje kusema tulikuwa tunaibiwa. Haya ya sasa ni muendelezo wa kipindi cha 13/14
Mradi huu ujadiliwe kwa mapama na uwazi tena na watu ambao ni brained sio hao wasanii na form 4 leavers waliojazana mjengoni. Hakuna sababu za kuharakisha kwa hii kasi inayokuja kwa sasa.
Huenda ikawa ni HASARA nyingine kwa taifa
——
View attachment 1750476
View attachment 1750478
Kifo cha JPM kinatakiwa kifanyiwe uchunguzi wa kina hasa kwa haya yanayoendelea.
Japo kwa Sasa anachafuliwa sana na hili li report na 2 la CAG, huyu mzee alifanya makubwa yaliyoumiza wengi sana wakiwepo part of the establishment kwa manufaa ya Taifa letu.
Kupitia maumivu Ikawa ni rahisi kutengeneza division ndani ya PSU.
Ukweli ni kambwa kifo cha JPM kiwe Documented kwa uchunguzi. Kina maswali mengi kuliko majibu kwa wenye TAFAKURU na wasio na MIHEMKO . Kadiri muda unavyozidi kwenda ukweli unaanza kujidhihirisha.
This face tells all ,
View attachment 1750483
Some audio clips are starting to circulate voicing discontent.
Because warble charts have no place in serious situations.
There is a need for public enquiry.
Gari nyeusi kwenye misafara yake yenye antenna nyingi nyingi🤔Katika Lugha nyepesi kabisa, kazi ya kifaa cha Pacemaker ni kuratibu mapigo ya moyo.
Ni katika mazingira magumu sana kifaa hiki kuleta shida. Aidha, Kutokana na evolution ya technology, mfumo wa kifaa hiki unaweza kuharibiwa kwa kutumia data base na access code zilizotumika ku program kifaa.
Unahitaji kupata access ya zile code kisha uwe na muhusika umbali mdogo ili kuharibu mfumo wa kifaa kwa kukihamuru kusababisha shock na kufanya mapigo ya moyo kutorandana tena.
Kama kutakuwa hakuna wataalamu wa kuliona hilo kwa haraka na kuwahi kukibadili kifaa, hatari itakuwa ni kubwa kwa maana muda mwingi utapotezwa kwenye first aid za ku support maisha yake badala ya kuondoa kifaa kilichoharibiwa mfumo.
JPM alivyokuwa anahudhuria mikutano yake na kujichanganya na watu, ni dhahiri kwamba ilikuwa ni rahisi kwa mtu mwenye nia ovu kutekeleza dhima hiyo kwa msaada wa Mabeberu na vibaraka wa ndani.
Je kitengo cha PSU kilichukua tahadhari ya uwepo wa technology hii, ? Na Kina hao wataalam na je wapo aware technically?
Jamani hivi walikuwa wamefikia hatua ya kutayarisha mkataba?Why JPM hakuuweka wazi huo mkataba ili na raia wauzoom?.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app