Ali Kamwe ni meneja wa Idara ya habari na mawasiliano ya Yanga ambacho ndicho cheo cha juu kwenye idara ya habari.
Manara ni mhamasishaji ambaye yupo chini ya meneja Ali Kamwe.
Hata Manara angekuwa msemaji bado yupo chini ya meneja maana meneja ndiyo boss wa msemaji na mhamasishaji.
Na sidhani kama hata cheo cha usemaji kama bado kipo maana klabu zimehamia kwenye idara ya habari na mawasiliano ambayo huongozwa na Meneja.