Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Mchimba kisima kaingia mwenyewe?! Watu wa Tiss wana laana za kuwatesa wa Watanzania kwenye nchi yao! Mtamalizana wenyewe until the day you all get to your senses.
Hivi Kazi ya TISS ni kutesa tu? Natamani kujua jinsi TISS wanavyohusishwa katika ishu Za uokozi,au ionekane kulikuwa Na tukio la kigaidi lakini wakazuia,au kulikuwa Na Wizi mkubwa serikalini wakaibua huo uozo,kwa mfano hizi kesi Za Ufisadi,usafirishaji wa nyara Za serikali,wizi migodini,mawaziri wasio wazalendo.Lkn nashangaa ni ishu Za kutesana tu sijui kwanini.Hivi kwanini wanaitwa Usalama wa Taifa?
 
Apo umesema haswa awawezi kukuua ivi ivi tu uyo shushushu labda aliwazunguka wenzie ama alikuw na msimamo hasi dhidi ya kitu flan ofisini mwao lakin kubwa linanifikilisha kuusu kuuza Siri wamemuua
 
Nimejikuta naikumbuka ile Movie ya The Good, The Bad and The Ugly
 
Intelejensi yenye mapungufu, idara hiyo nyeti haina vyombo vya kumonita watumishi wao? au alikuwa msaliti wa idara
 
hii habari ya june 1,2013 kama sijakosea !!!!!
 
umesomeka vizuri sana
 
Hivi kuna tetesi Lizaboni ni nani? Mwigulu wakoje na Lizaboni?
 
Kwa waliomkosa kosa lisu naamini watakuwa wameuwawa kwa kulinda Siri na Kama wameuwawa basi innallilah waainailah rjiuun kwakuwa shamba ni la bwana heri na
kwakuwa mbuzi ni wa bwana heri
basi mambo yote ni heri
 
Sizani, huoni watu wanaendelea kuokotwa kwenye viroba, wapo wanadunda hawana hofu maana wameshika mpini.
Kwa waliomkosa kosa lisu naamini watakuwa wameuwawa kwa kulinda Siri na Kama wameuwawa basi innallilah waainailah rjiuun kwakuwa shamba ni la bwana heri na
kwakuwa mbuzi ni wa bwana heri
basi mambo yote ni heri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kazi ni nzuri pia ni hatari, Pole ya kupoteza , Poleni sana!
 
kimsingi haina uzuri wowote zaidi ya kuukabidhi mwili wako kwa serikali..muungu jaalia iwe serikali njema na sio kama ile ya bwana 'pineapple face'
 
Hapa verified user alijitoa ufahamu sijui bado huyu tunae jf au washampitatyenyi?
maana alichoandika mmmh

Mkuu Kama bado upo njoo utusalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…