Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Mchimba kisima kaingia mwenyewe?! Watu wa Tiss wana laana za kuwatesa wa Watanzania kwenye nchi yao! Mtamalizana wenyewe until the day you all get to your senses.
Hivi Kazi ya TISS ni kutesa tu? Natamani kujua jinsi TISS wanavyohusishwa katika ishu Za uokozi,au ionekane kulikuwa Na tukio la kigaidi lakini wakazuia,au kulikuwa Na Wizi mkubwa serikalini wakaibua huo uozo,kwa mfano hizi kesi Za Ufisadi,usafirishaji wa nyara Za serikali,wizi migodini,mawaziri wasio wazalendo.Lkn nashangaa ni ishu Za kutesana tu sijui kwanini.Hivi kwanini wanaitwa Usalama wa Taifa?
 
Huyo atakuwa walimpeleka quater guard au torture chamber ..kutakuwa kuna kosa alifanya ....la kiutendaji....huenda hawakuwa na nia afe ..labda gwaride likawa gumu!!
Nashangaa kwa nini wakakubali kuonesha amefia kisimani ...inaonekana sikuhizi TISS hakuna smooth operators ......la sivyo angetakiwa tu akutwe Mortuary...na msg tu kuwa aliokotwa barabarani ....
Taarifa kama hizi kwa kipindi hiki sio nzuri zinaleta tension bure bungeni ..... unless alikuwa anauza siri na wametaka kutuma message kwa waliokuwa wakimtuma na wengine wenye tabia kama zake
Apo umesema haswa awawezi kukuua ivi ivi tu uyo shushushu labda aliwazunguka wenzie ama alikuw na msimamo hasi dhidi ya kitu flan ofisini mwao lakin kubwa linanifikilisha kuusu kuuza Siri wamemuua
 
Nimejikuta naikumbuka ile Movie ya The Good, The Bad and The Ugly
 
Intelejensi yenye mapungufu, idara hiyo nyeti haina vyombo vya kumonita watumishi wao? au alikuwa msaliti wa idara
 
hii habari ya june 1,2013 kama sijakosea !!!!!
 
SERIAL DEATHS OF SPIES IS NOT SOMETHING UN-USUAL ,ITS ONLY THIS WEEK THAT WE LEARNED THAT IT WAS IMRAN KOMBE INFACT WHO ORDERED MORINGE SOKOINE"S PERSONAL BODYGUARDS TO HEAD TOWARD MONDULI INSTEAD OF ACCOMPANY HE FORMER PREMIER TO ROAD TRIP TO DAR......FEW PEOPLE KNOW THAT WHEN IMRAN WAS KILLED HIM AND HIS WIFE WERE ON THE WAY TO FLEE THE COUNTRY TO CANADA AFTER SMELT FISH....ON HIS ROLE AHEAD OF 1995 ELECTIONS...
.....THE THEN DEATH OF ANOTHER SPY THIS WEEK IN THERE COMPOUND ...IS NOT SOMETHING NEW...TWO YEARS AGO FORMER CHIEF JUSTICE BOARDGUARD WAS FOUND DEAD ..IN SUSPECTIVE ENVIRONMENT..IT WAS QUICK COVERED ....
WE DONT KNOW THE REASON FOR YET AGAIN THIS LATEST ONE....ONE THING IS WE ARE NOT SUPPOSED TO WASTE OUR VOICES SINCE IN SPY PROFFESSION THERE IS A PRICE TO PAY WHEN YOU ARE CONSIDERED A THREAT A TRAITOR ....WHO KNOWS ...MAY BE THIS IS A MESSAGE TO SPIES INVOLVED IN RECENT LEAKAGES .....,
COMING ACROSS ANY TOP SECRET IS ANOTHER REASON TO DIE ..PASSIONATELY IF YOU ARE CONSIDERED NOT STRONG ENOUGH TO KEEP SECRET....

THEY WERE SWORN TO DIE THESE KIND OF DEATHS ....SO FOR LOVED ONE BURY YOUR DEAD ..YOU HAVE NOTHING TO ASK !!!!! LIFE GOES ON!!


Utata umeibuka kuhusiana na kifo cha Ofisa Usalama wa Taifa, Peter Tyenyi, ambaye mwili wake umekutwa ndani ya kisima cha maji kilichopo eneo la ofisi za idara zilizopo Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza kwa njia ya simu, msemaji wa familia ambaye ni kaka wa marehemu, John Tyenyi alisema mwili wa Peter (53) ulikutwa juzi ukiwa ndani ya kisima cha maji kilicho ndani ya eneo la Ofisi za Usalama wa Taifa, Kijitonyama baada ya kutoweka tangu Jumatatu ya Mei 27, alipoaga kwenda kazini.

�Peter alitoweka tangu Jumatatu alipoaga kwenda kazini. Mimi nimepigiwa simu jana saa tano asubuhi nikiwa Mombasa nchini Kenya kwamba amepatikana akiwa ndani ya shimo la maji,� alisema John.

Baadhi ya ndugu zake waliozungumza kwa sharti la kutotajwa majina wakiwa msibani Kigamboni jijini Dar es Salaam, walisema kuwa baada ya ndugu yao kutoweka mkewe Joyce Mwakilama aliwataarifu na kuwasiliana na ofisi yake, lakini aliambiwa kuwa hata huko hayupo.

�Tuliwajulisha Usalama wa Taifa wakasema hata wao hawajui. Lakini jana (juzi) wakatupigia simu kuwa amekutwa kwenye kisima cha maji baada ya kutokea shida ya maji,� alisema mmoja wa wanafamilia kwa sharti la kutotajwa jina na kuongeza:

�Walisema kuwa kisima hicho huwa kinalindwa, lakini tunashangaa ndugu yetu aliingiaje humo.�

Ndugu mwingine alisema: �Awali tuliambiwa kuwa ndugu yetu yuko Muhimbili, tukaenda kuulizia tukamkosa. Baadaye tukaambiwa yuko hospitali ya Lugalo, huko tukamkuta ameshaandaliwa kwa mazishi. Tulipouliza tukaambiwa kibali cha kuzika kiko tayari na usafiri wa ndege uko tayari tujiandae kusafirisha.�

Hata hivyo, msemaji wa familia John Tyeni alisema kuwa ndugu hao walipinga kuusafirisha mwili huo, hadi ufanyiwe uchunguzi (post mortem).

�Tulipokwenda hospitali tukakuta maofisa usalama wamemchukua OCD wa Wilaya ya Kinondoni Wilbrod Mutangungwa na askari wawili na kwenda kufanya post mortem. Yaani kulikuwa na ujanja ujanja unafanyika. Sisi tukamchukua Ofisa Upelelezi Mkoa wa Kinondoni, RCO Kimola na askari wawili na wapigapicha ndiyo tukafanya post mortem,� alisema John.

Akizungumzia matokeo ya uchunguzi huo, John alisema kuwa watapewa matokeo hayo baada ya kutoka kwenye mazishi yatakayofanyika Musoma mjini mkoani Mara, baada ya kusafirishwa leo.

Hata hivyo alisema kuwa macho yake yalikuwa yametoka nje kwa sababu ya kujaa maji.

Baadhi ya ndugu wa marehemu walidai kuwa mwili wake ulikutwa ukiwa umetumbuliwa macho huku nguo na viatu vikiwa bado mwilini.
umesomeka vizuri sana
 
Either utoto au kupenda sifa kupita kiasi kunakufanya uongee vitu ambavyo only family member wanatakiwa kuongea. Hasa ukizingatia kuwa ni wakati wa msiba. UWT hauwezi kuwa na mfanyakazi ambaye ana upungufu kwenye akili, ile kazi sio sawa na kazi yako ya kutoa comments humu na kwenda kuosha viatu vya Mwigulu Nchemba na kuvuta buku saba. No matter what, kifo sio jambo la kukebehi hata kama kwa kufanya hivyo unahisi utamfurahisha boss wako. Furahia kifo cha adui yako lakini sio kukashifu, kukebehi na kuweka tabia zako za kitoto
Hivi kuna tetesi Lizaboni ni nani? Mwigulu wakoje na Lizaboni?
 
Kwa waliomkosa kosa lisu naamini watakuwa wameuwawa kwa kulinda Siri na Kama wameuwawa basi innallilah waainailah rjiuun kwakuwa shamba ni la bwana heri na
kwakuwa mbuzi ni wa bwana heri
basi mambo yote ni heri
 
Sizani, huoni watu wanaendelea kuokotwa kwenye viroba, wapo wanadunda hawana hofu maana wameshika mpini.
Kwa waliomkosa kosa lisu naamini watakuwa wameuwawa kwa kulinda Siri na Kama wameuwawa basi innallilah waainailah rjiuun kwakuwa shamba ni la bwana heri na
kwakuwa mbuzi ni wa bwana heri
basi mambo yote ni heri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kazi ni nzuri pia ni hatari, Pole ya kupoteza , Poleni sana!
 
kimsingi haina uzuri wowote zaidi ya kuukabidhi mwili wako kwa serikali..muungu jaalia iwe serikali njema na sio kama ile ya bwana 'pineapple face'
 
Inaweza kuwa ujumbe ama mauaji kama mauaji mengine yanayoweza kufanywa na watu, maana UWT ni Idara yenye watu wengi. Binafsi nakumbuka Mwanza waliwahi kumuua mwenzao na Maiti yake ikachomwa na Moto tena katika majengo yao ya ofisi na Ikulu Ndogo ya Mwanza.
Lakini waliodakwa kwa mauaji ni wale ambao hata hawakuwa na uhusiano na ofisi hiyo.
Hapa verified user alijitoa ufahamu sijui bado huyu tunae jf au washampitatyenyi?
maana alichoandika mmmh

Mkuu Kama bado upo njoo utusalimu
 
Back
Top Bottom