habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
mungu aiweke roho yake peponi...hii taarifa ipo hapa wiki sasa kwa thred tofauti tofauti au kuna kitu kinatafutwa???
kila jukwaa ukienda ipo
kila jukwaa ukienda ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!![]()
MMOJA wa wasisi wa idara ya usalama wa taifa enzi za ukurugenzi wa hayati Emil Mzena, mzee Joseph Mwasokwa ameuawa kwa kuchinjwa usiku wa kuamkia leo jijini Mbeya.
Chanzo hakijajulikana.
Hayati mzee Mwasokwa atakumbukwa kwa uchapa kazi wake mahiri, wakati huo akiwa na akina mzee Kayugwa, mzee kiliwa mzee Adam Kilumbi, Mzee Shekalage, Mzee Lymo, Marehemu Amir Koyamba, Mzee Kashinde, Mzee Kisesa, Mzee Said Mawele, marehemu Mzee Mahmood Issa, marehemu mzee Ijagala, Mzee Bwimbo [upande wa PSU], mzee Kalumanga NA WENGINE WENGI.
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA
*************
More details:
- Mwili wa marehemu ulikutwa getini kwake, maeneo ya Block T jijini Mbeya.
- Marehemu alikuwa ameenda jirani kuangalia mechi ya mpira
- Marehemu alikutwa na $200 na TShs 100,000 hivi na vitu kama saa, simu n.k ambavyo havikuchukuliwa
- Hakuna uhakika kama aliuliwa palepale getini kwake au aliuawa mbali na mwili kutupwa getini kwake
Habari imeandikwa kwa kirefu zaidi hapa - Ofisa Usalama wa Taifa auwawa kwa kuchinjwa kinyama Mbeya | Fikra Pevu
Ukiua kwa panga na wewe utauawa kwa upanga, huwa wanajisahau wanapopata nafasi.
Mwili huo ulifanyiwa uchunguzi (post mortem) na wanandugu waliruhusiwa kuuchukua tayari kwa mazishi.................................... lakini majibu ya uchunguzi hayajapatikana
mzee unaonyesha ww nimtaalamu, hizo mbinu ulizotoa hapo hauko mbali na hao jamaa.Huyo atakuwa walimpeleka quater guard au torture chamber ..kutakuwa kuna kosa alifanya ....la kiutendaji....huenda hawakuwa na nia afe ..labda gwaride likawa gumu!!Nashangaa kwa nini wakakubali kuonesha amefia kisimani ...inaonekana sikuhizi TISS hakuna smooth operators ......la sivyo angetakiwa tu akutwe Mortuary...na msg tu kuwa aliokotwa barabarani ....Taarifa kama hizi kwa kipindi hiki sio nzuri zinaleta tension bure bungeni ..... unless alikuwa anauza siri na wametaka kutuma message kwa waliokuwa wakimtuma na wengine wenye tabia kama zake
...nawao wanapenda kula nyama na kucha zao...teh ,,tehhWako wapi waandishi wa habari za kiuchunguzi waifanyie kazi hiii habari?
Mtume Lasul! Hakyanani sikujua kama jf kuna mainteligencia kiasi hiki! kila wazo linalotolewa humu kuhusiana na tukio ni sahii kabisa!
Manake mimi nilidhani wanaishia kwenye polisi ya kijamii tu, kumbe mpaka huku ushirikishwaji upo?!...usiogope hawa vijana woote wamefuzu intelijensia shirikishi,so kukusanya udaku sio ishu sana kwao....