Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Kaishi Miaka 52 na Siku 27 kamili. Kazaliwa May Kauawa May. Mungu ampokee kwake, Amina.
 
Huyu marehemu kama namfahamu au la?

Huyu akusoma miaka ya 80 mwanzoni pale Nyegezi seminari akiwa Form V-V1????
Kama yeye,alikuwa footballer(Kiungo) mzuri sana,kwenye timu ya mpira hapo shuleni.

Jamani wanaomfuhamu ,hebu niambieni kama kweli
 
Na wewe tumia akili kidogo, Kama kaingia kisimani sasa nani alifunika hicho kisima?

we mkareeee!..............sina swali zaidi muheshimiwa na nadhani nimeshaamua kuamini tu kuwa ameuawa.naangalia kila uwezekano naona magumashi tu!ighonduuuuuuuuuu!
 
ooh kumbe!!ndio mana siku hizi majasiri kama kina jason bourne hatuoni thread zao hapa JF.
 
ooh kumbe!!ndio mana siku hizi majasiri kama kina jason bourne hatuoni thread zao hapa JF.

unafanya mchezo na kung'olewa kucha wewe!! Jason kimyaaaa...................dadeki!hakuna cha Bourne supremacy wala nini hapa,kagundua akileta ujanja wa kwenye movie ''ataenda'' kweli!
 
Kumbe JF ni inverstagation tosha maana kila kitu kipo uchiiii wenye akili tumeona. Picha lilivyo chezwa mhh na uyo mfunika kisima na mgunduaji ni watu mhimu sna.
 
usilojua ni usiku wa giza ninamfahamu marehemu na hata wazazi wake nilibahatika kumfahamu lakini kwa mila za kitanzania marehemu haumbuliwi kwa hiyo wanajamvi tusianza kuzusha maneno na uongo.mungu ailaze roho yake mahali pema .
 
Ni kwa vipi TISS imekua jumuiya kwenye chama tawala??? Msemaji wa TISS ni nani?????????????? Rubbish
kuwa mwangalifu unapokuwa jukwaani na kauli zako za kukusasambua ...auogopi ban ya moderators?
 
google translator inanizinguwa...

kuna mtu naweza weka kwa kiswahili hii sehemu ya kiingereza...nahitaji kuelewa isee

SERIAL DEATHS OF SPIES IS NOT SOMETHING UN-USUAL ,ITS ONLY THIS WEEK THAT WE LEARNED THAT IT WAS IMRAN KOMBE INFACT WHO ORDERED MORINGE SOKOINE"S PERSONAL BODYGUARDS TO HEAD TOWARD MONDULI INSTEAD OF ACCOMPANY HE FORMER PREMIER TO ROAD TRIP TO DAR......FEW PEOPLE KNOW THAT WHEN IMRAN WAS KILLED HIM AND HIS WIFE WERE ON THE WAY TO FLEE THE COUNTRY TO CANADA AFTER SMELT FISH....ON HIS ROLE AHEAD OF 1995 ELECTIONS...
.....THE THEN DEATH OF ANOTHER SPY THIS WEEK IN THERE COMPOUND ...IS NOT SOMETHING NEW...TWO YEARS AGO FORMER CHIEF JUSTICE BOARDGUARD WAS FOUND DEAD ..IN SUSPECTIVE ENVIRONMENT..IT WAS QUICK COVERED ....
WE DONT KNOW THE REASON FOR YET AGAIN THIS LATEST ONE....ONE THING IS WE ARE NOT SUPPOSED TO WASTE OUR VOICES SINCE IN SPY PROFFESSION THERE IS A PRICE TO PAY WHEN YOU ARE CONSIDERED A THREAT A TRAITOR ....WHO KNOWS ...MAY BE THIS IS A MESSAGE TO SPIES INVOLVED IN RECENT LEAKAGES .....,
COMING ACROSS ANY TOP SECRET IS ANOTHER REASON TO DIE ..PASSIONATELY IF YOU ARE CONSIDERED NOT STRONG ENOUGH TO KEEP SECRET....

THEY WERE SWORN TO DIE THESE KIND OF DEATHS ....SO FOR LOVED ONE BURY YOUR DEAD ..YOU HAVE NOTHING TO ASK !!!!! LIFE GOES ON!!



 
You need to attend an English language class!

You are very right ! I am an African from Tanzania...my native language is Swahili.
I have been taught the so called Kiingereza for a number of years in Kayumba's schools and Colleges. The knowledge I have acquired, is worth regarding what you have with you "smart" Kiingeraza.

I am insisting to be careful with your posts...! while pondering your oath.
 
Either utoto au kupenda sifa kupita kiasi kunakufanya uongee vitu ambavyo only family member wanatakiwa kuongea. Hasa ukizingatia kuwa ni wakati wa msiba. UWT hauwezi kuwa na mfanyakazi ambaye ana upungufu kwenye akili, ile kazi sio sawa na kazi yako ya kutoa comments humu na kwenda kuosha viatu vya Mwigulu Nchemba na kuvuta buku saba. No matter what, kifo sio jambo la kukebehi hata kama kwa kufanya hivyo unahisi utamfurahisha boss wako. Furahia kifo cha adui yako lakini sio kukashifu, kukebehi na kuweka tabia zako za kitoto

mkuu nakubaliana na wewe asilimia mia...kazi ya uwt hauwezi ukafanya ukiwa mentaly disordered..kwa sababu unaweza ukatoa siri za ofisi.once wakishagundua kwamba you are not normal upstairs or atraitor, they do away with you..how do they do that jaza mwenyewe.
 
Mkuu yaani kula kisha kujipangusia kwenye nguo ndiyo kunafanya watu wasihoji kifo chake.

halafu kisima cha taasisi kubwa kama hii kitakuaje hakijafunikwa na kama kimefunikwa ilikuaje akajitumbukiza na asionekane sasa ni nani aliyefunika.
 
Ivi we mzee wa kuomba BAN na LIZABONI mbona mpo bize sana kuiaminisha jamii kuwa marehemu alikuwa ni mgonjwa wa akili au mlevi sana? Au nanyi ni TISS mnajaribu kuvuruga ushahidi? Kwa mujibu wa maelezo mke wa marehemu alipopiga simu ofisini alijibiwa kuwa marehemu hakuonekana kazini siku hiyo inawezekanaje mtu mwenye matatizo ya akili au mlevi aingie eneo lililojaa maafisa usalama na asionekane na mtu? Kama kuna uzembe kiasi hicho basi waombeni radhi M23 haraka kabla hawajawaingilia kambini na kuwateketeza wote. Naomba mtambue kuwa wana jf wengi wana uwezo mkubwa sana wa kudadavua mambo hivyo msijaribu kuziba mwanga wa jua kwa kutumia ungo, wote tuvute subira matokeo kamili ya uchunguzi yatatolewa.

pia kama alikuwa hana akilili aliwezaje kuwa anafanya kazi kwenye usalama wa taifa.
 
You are very right ! I am an African from Tanzania...my native language is Swahili.
I have been taught the so called Kiingereza for a number of years in Kayumba's schools and Colleges. The knowledge I have acquired, is worth regarding what you have with you "smart" Kiingeraza.

I am insisting to be careful with your posts...! while pondering your oath.

Kwan umelazimishwa kutumia kiingereza?,si utumie lugha unayoijua vizuri na inayokubalika hapa jukwaani yaani kiswahili?,acha kujishaua kumbe hujui
 
1.Kwan umelazimishwa kutumia kiingereza?,2. si utumie lugha unayoijua vizuri na inayokubalika hapa jukwaani yaani kiswahili?,3.acha kujishaua 4. kumbe hujui


1. Ni kweli kabisa sijalazimishwa....lakini najifunza lugha hii maana sijabobea katika lugha hii. Njia ninazozitumia, mojawapo ni yakutumia jukwaa hili. Ninafanya hivyo kwa kuandika posts za kiingereza hapa jukwaani...kama unaijua lugha hii vizuri ungekuwa wa kwanza kunikosoa mahali nilipokosea ili nisiendelee kukosea kimaandishi lugha hii.

2. Ukosahihi pia katika hili kuwa naijua vizuri lugha ya Kiswahili kuliko ya Kiingereza. lakini sikubaliani na wewe kuwa Kiswahili pekee ndiyo lugha inayokubalika hapa jukwaani. Naweza kudhibitisha hili kwa kuarejea sheria zinazoongoza jukwaa hili...sheria hizi zimeandikwa kwa lugha zote mbili yaani Kiingereza na kiswahili.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/18042-jamiiforums-rules.html


3. Sijishaui...nimo katika harakati za kujifunza lugha ya kiingereza...kama umebobea katika lugha hii waweza kunisaidia pia bila kejeli na dharau ili niweze kukuelewa vizuri.

4. Hili nimelieleza katika hoja yako ya kwanza.

Karibu Pawaga...huyu ndiye MpigaKelele.

SASA TURUDI KWENYE MADA ILIYOPO MEZANI yaani Utata wa kifo cha mwanausalama wetu.
 
Back
Top Bottom