sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Cha ajabu kwenye trending hayupo hata kumi bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambayo inatrend ina viewers wangapi?
Wanaitwaga Ma+haters ishi nao Kama wanavyokuchukuliaNimegundua watz wengi wana stress za maisha zinazopelekea kuwa na chuki na mtu yoyote tu mwenye mafanikio yake.
Umesahau Mdomoni umbea
Yani nimechekaa mnoooo lol😂😂😂
hizi ni trending videos ambazo zimeachiwa ndani ya hizi siku 3Ambayo inatrend ina viewers wangapi?
Nimegundua watz wengi wana stress za maisha zinazopelekea kuwa na chuki na mtu yoyote tu mwenye mafanikio yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji205][emoji116]
View attachment 1848840
Mwana Chadema kumsagia kunguni mwana CCM ni jambo linalotarajiwa wa kila mtu.Kama ambavyo Chadema walivyokuwa wakimsagia kunguni Diamond ktk tuzo za BET
Hivi hiyo label ya Harmonize wameshindwa kumuajiri yule jamaa mnamuita simba pale Dar anayefundisha English !!!, maana English iliyotumika hapo inasikitisha sanaHARMONIZE na genge lake wanatuaharibia vijana wenye vipaji kwa kuwajaza ujinga
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unachanganyikiwa kwa kukosa ela au huo ujinga wa viewers.......Mimi hapo ndo huwa naanza kuchanganyikiwa
Hili ni swali au ushauriUnachanganyikiwa kwa kukosa ela au huo ujinga wa viewers.......