Tetesi: Utata kuhusu chanzo halisi cha utajiri wa Jumanne Kishimba

ilibakia kidogo sana nimuowe Hadija kishimba tulikutana India akiwa masomoni, ni binti mmoja taanusi sana hivi na hapendi kudharau watu si mtu wa kujikweza, najua aliemuoa ameramba bingo sana.
 
Sidhani kama ni kweli, wenyeji wa kagongwa _ Kahama tutaelewana vizuri. Kuna jamaa yangu ambaye anamuita Kishimba mjomba anasemà hakuna cha ndumba wala uganga huo utajiri ni wa ukweli.
 
Nakumbuka hiyo miaka ndio namalizia malizia primary school Tabora kishimba alikuwa maarufu sana na ndio ilikuwa chachu vijana wengi kanda ya ziwa kukimbilia wakati huo inaitwa zoo (mwanza)
 
Hapa umekuja uwaweke watu mkao wa kuwapiga. Kama ulivyofanya kwenye story ya jumba ngemba...ukakimbia uzi. Sasa nadhan umekuja na gia nyingine.
 
Waswahili wanasema safari moja huongeza nyingine.Hicho ndo kimenitokea Mimi.
Nikiwa katika safari yangu ya kufanya utafiti uchawi uganga na ulozi nimejikuta napata interest ya kuandika kuhusu matajiri mbalimbali nchini Tanzania na nchi jirani ya Congo ambao utajiri wao inasemekana kuwa umepatikana kichawi.

Iwe umepatikana kichawi au la nitakacho hitaji kujua ni nafasi ya uchawi katika utajiri wao.

Lengo ni kuwa inspire vijana wa kitanzania ambao wana amini hawawezi kufanikiwa bila kutumia uchawi.

Katika hili nitajaribu kufuata nyayo za Napoleon Hill ambae alifanya utafiti kuhusu siri ya utajiri kwa kufanya mahojiano na matajiri mia NNE wa Marekani.

Nilipo kuwa jijini Mwanza kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu bibi Fisi nilikutana na story za MTU anaeitwa Jumanne Kishimba.

Huyu jamaa anatajwa kama moja kati ya matajiri wa Mwanza ambae chanzo cha utajiri wake kinahusishwa na ushirikina.

Inasemekana kuwa Kishimba alifika jijini Mwanza mwishoni mwa miaka ya tisini akitokea kwao mkoani Shinyanga kwa ajili ya kutafuta maisha ( Mwanza ndo Dar Es Salaam ya kanda ya ziwa )

Kazi aliyo kuwa anaifanya jijini Mwanza ilikuwa ni kuuza sigara ( na pipi?) Kwa kutembeza mitaani ( Street Hooker )

But ghafla mwaka 1994 Kishimba akaibuka kuwa na ukwasi usio shabihiana na shughuli aliyo kuwa akiifanya.

Watu wengi waliuhusisha utajiri wa Kishimba na uchawi .Kwamba ametoa kafara ili apate utajiri.

Pamoja na watu wengi kuamini kuwa utajiri wa Kishimba ni utajiri wa kichawi wapo watu wachache ambao hawakubaliani na hoja hii.

Miongoni mwa watu hao ni jamaa hawa wanne nilio Fanya nao mahojiano ambao wao wanasema kwamba chanzo cha utajiri wa Kishimba ni vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi huko nchini Rwanda mwaka 1994 .

Jamaa hawa wanadai ya kwamba wakati mauaji ya kimbari yanaendelea huko nchini Rwanda wapo mamia ya wafanya biashara nchini Tanzania na DRC ambao walitake advantage of the situation na kupata utajiri wa kutisha. Na kwamba miongoni mwa wafanya biashara hao ni Jumanne Kishimba wa Mwanza.

Je Kishimba alitajirika vipi kupitia mauaji ya kimbari dhidi yawatusi yaliyo tokea nchini Rwanda mwaka 1994 ?

Majibu utayapata ndani ya kitabu changu ( Jina linahifadhiwa ) ambacho kitakuwa hewani baada ya mahojiano na wafuatao kukamilika.

1. Jumanne Kishimba mwenyewe
2. Bi Hadija Kishimba mtoto wa Jumanne Kishimba.

Pia jiandae kusoma kitabu kuhusu Bibi Fisi .Katika kitabu hicho pamoja na mambo mengine utausoma uchambuzi wa kina wa kesi ya mauaji dhidi ya bibi Fisi.

Vile vile kitabu kuhusu Juma Njemba kipo jikoni kinapikwa.Kaa mkao wa kula.

Ninaendelea kufanya utafiti kuhusu waganga na wachawi maaurufu waliopata kutikisa Tanzania pamoja na matukio mbali mbali ya kustaajabisha yaliyowahi kutokea Tanzania na nchi jirani.

subiri na wewe
 
Fanya utafiti wa bingwa wa Kikinga Mwakipande.
 
If i wanted to do it i could have done it but differently.not this way.i am not a con artist.
Acha ushamba wewe nimeku challenge uonyeshe utapeli kwenye hiyo makala umeshindwa una bwabwaja.

Sikia we boya.Kitabu naandika Mimi sio wewe.Ninaandika chochote ninacho jisikia..Hayo mawazo yako ya kihanithi hayahitajiki.nje ya mipaka ya ubongo wako
 
Hakuna uchawi.

Hakuna utajiri wa kichawi.
Unaweza kuwa sahihi but kwa story ya Kishimba is a bit difference. Wengi wanaamini ana utajiri wa kichawi but wapo wanao amini utajiri wake wa haraka Ali upata in 1994 during the Rwandan Genocide.

This is what I am going to address in this book and the point I am trying to establish is that si kila mtu anaesemwa kuwa na utajiri wa kichawi basi utajiri wake ameupata kichawi kweli.
Wengine ni majambazi, kidnappers, wafanya magendo , wauza cocaine etc but wanajificha kwenye mwamvuli wa utajiri wa kichawi ili kuuhadaa uma kwa sababu wanajua watz wengi wanaamini sana katika uchawi.

Nilivyo pata story ya Kishimba nimeshawishika kuamini kuwa watu wengi tunao amini wana utajiri wa kichawi wanaweza kuwa na mishe nyingine wanapiga nyuma ya pazia ila wamejifichwa kwenye " uchawi "
 
Andika maana zaidi ya lugha ya kukosa malezi huwa huna hoja. Ila HUTAMTAPELI MTU ANDIKA UJISOMEE... HUMU WATU WAJANJA HUWAIBII KAMWE.

Acha ushamba wewe nimeku challenge uonyeshe utapeli kwenye hiyo makala umeshindwa una bwabwaja.

Sikia we boya.Kitabu naandika Mimi sio wewe.Ninaandika chochote ninacho jisikia..Hayo mawazo yako ya kihanithi hayahitajiki.nje ya mipaka ya ubongo wako
 
Unaweza kuwa sahihi but kwa story ya Kishimba is a bit difference. Wengi wanaamini ana utajiri wa kichawi but wapo wanao amini utajiri wake wa haraka Ali upata in 1994 during the Rwandan Genocide.

This is what I am going to address in this book and the point I am trying to establish is that si kila mtu anaesemwa kuwa na utajiri wa kichawi basi utajiri wake ameupata kichawi kweli.
Wengine ni majambazi, kidnappers, wafanya magendo , wauza cocaine etc but wanajificha kwenye mwamvuli wa utajiri wa kichawi ili kuuhadaa uma kwa sababu wanajua watz wengi wanaamini sana katika uchawi.

Nilivyo pata story ya Kishimba nimeshawishika kuamini kuwa watu wengi tunao amini wana utajiri wa kichawi wanaweza kuwa na mishe nyingine wanapiga nyuma ya pazia ila wamejifichwa kwenye " uchawi "

Uchawi haupo. Period, end of sentence!

Ni imani tu isiyo na uhalisia wowote ule.
 
Back
Top Bottom