ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
UWONGO MTUPU!Yesu alisema matajiri hawataingia mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UWONGO MTUPU!Yesu alisema matajiri hawataingia mbinguni
HahahahahhaYesu alisema matajiri hawataingia mbinguni
dont quote me you asolUshuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.
Habar zenu Wadau
Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa mzee Kingwele anaishi Mpakan na Congo.
Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbalimbali ila idadi kubwa ni wanawake.
Tukiwa pale kuna mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na Babu.
Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta msukule kupitia Mitambo yake.
Ndugu wa yule mgonjwa walilia sana kwa furaha.
Ikawa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.
Wakat tupo pale baadae nikaona tena Wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.
Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa.
A) Mzee Mangi alikuwa na kesi ya Kuua lakin file la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika file alipata ajali na amelazwa hospital
B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano.
Mama huyu alihudumiwa na Babu kwa siku saba tu
C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata utajir kwa njia nyepes tuu siyo kuua binadam bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa Mwaka kila Tareh ikifika
D) Nikaona ...... Akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa kuua ndugu.... Aliyekuwa akimsumbua Sana.
E) Mama Zuwena alitoa sh... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali.
Hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na .... Ilifanya kazi vizur.
Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivisasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe Mazingira..
Kiufupi huyu Babu anawajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba dawa na anachanganya na VISIMBA na mambo mengine anayoyajua yeye....
Mmh! Najua kuna watakao toa Povu ila uhalisia ni kwamba Ushirikina/Uchawi upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema Uchawi haupo basi hao hawajapata matatizo.
Namba za huyo Babu.
(+255678134718) kwa ufafanuz zaid..
Mkuu Likud hiki kitabu kinachohusu namna Jumanne Kishimba alivyotajirika uliishakichapisha? Natamani nikisome japokuwa imeonekana kuanza na taarifa zisizo sahihi kwa asilimia 100 kuhusiana na namna alivyojipatia fedha mwanzoni kabisa!dont quote me you asol
umepataje hiyo asilimia mia moja. Tuanzie hapo mkuuMkuu Likud hiki kitabu kinachohusu namna Jumanne Kishimba alivyotajirika uliishakichapisha? Natamani nikisome japokuwa imeonekana kuanza na taarifa zisizo sahihi kwa asilimia 100 kuhusiana na namna alivyojipatia fedha mwanzoni kabisa!
Yaani kuna wajinga wataingia mkenge kwa huyu jamaa nilisha ona mabandiko yake ila kwa mtu mwenye akili zake timamu huyu jamaa ni bonge la tapeli haswaHumuibii mtu. Yaaani stories za kuambiwa kijiweni unajidai nawe mtafiti kwa kuulizia ulizia masela halafu uje hapa utangaze unauza kitabu? Trust watanzania ni wajanja sana miaka hii. Hutoki kwa style hii.
Hicho kitabu chako wauzie mazwazwa wenzako wa hio kanda munaoendekeza uchawi.Naanza na Kishimba.. Kama kuna mwingine yoyote unamjua just mention him tumuweke kwenye list
undefinedangalia Jfour asikufunge to kwa Defamation,undefinedmwenzako alianza kuuza miwa kwa taarifa yakoNatangaza biashara ya kitabu ndio.what's wrong about that
undefinedangalia Jfour asikufunge to kwa Defamation,undefinedmwenzako alianza kuuza miwa kwa taarifa yakoNatangaza biashara ya kitabu ndio.what's wrong about that
Hela imeisha kaja kivingine . bonge la tapeli huyu jamaaHapa umekuja uwaweke watu mkao wa kuwapiga. Kama ulivyofanya kwenye story ya jumba ngemba...ukakimbia uzi. Sasa nadhan umekuja na gia nyingine.
Waswahili wanasema safari moja huongeza nyingine.Hicho ndo kimenitokea Mimi.
Nikiwa katika safari yangu ya kufanya utafiti uchawi uganga na ulozi nimejikuta napata interest ya kuandika kuhusu matajiri mbalimbali nchini Tanzania na nchi jirani ya Congo ambao utajiri wao inasemekana kuwa umepatikana kichawi.
Iwe umepatikana kichawi au la nitakacho hitaji kujua ni nafasi ya uchawi katika utajiri wao.
Lengo ni kuwa inspire vijana wa kitanzania ambao wana amini hawawezi kufanikiwa bila kutumia uchawi.
Katika hili nitajaribu kufuata nyayo za Napoleon Hill ambae alifanya utafiti kuhusu siri ya utajiri kwa kufanya mahojiano na matajiri mia NNE wa Marekani.
Nilipo kuwa jijini Mwanza kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu bibi Fisi nilikutana na story za MTU anaeitwa Jumanne Kishimba.
Huyu jamaa anatajwa kama moja kati ya matajiri wa Mwanza ambae chanzo cha utajiri wake kinahusishwa na ushirikina.
Inasemekana kuwa Kishimba alifika jijini Mwanza mwishoni mwa miaka ya themanini akitokea kwao mkoani Shinyanga kwa ajili ya kutafuta maisha ( Mwanza ndo Dar Es Salaam ya kanda ya ziwa )
Kazi aliyo kuwa anaifanya jijini Mwanza ilikuwa ni kuuza sigara ( na pipi?) Kwa kutembeza mitaani ( Street Hooker )
But ghafla mwaka 1994 Kishimba akaibuka kuwa na ukwasi usio shabihiana na shughuli aliyo kuwa akiifanya.
Watu wengi waliuhusisha utajiri wa Kishimba na uchawi .Kwamba ametoa kafara ili apate utajiri.
Pamoja na watu wengi kuamini kuwa utajiri wa Kishimba ni utajiri wa kichawi wapo watu wachache ambao hawakubaliani na hoja hii.
Miongoni mwa watu hao ni jamaa hawa wanne nilio Fanya nao mahojiano ambao wao wanasema kwamba chanzo cha utajiri wa Kishimba ni vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi huko nchini Rwanda mwaka 1994 .
Jamaa hawa wanadai ya kwamba wakati mauaji ya kimbari yanaendelea huko nchini Rwanda wapo mamia ya wafanya biashara nchini Tanzania na DRC ambao walitake advantage of the situation na kupata utajiri wa kutisha. Na kwamba miongoni mwa wafanya biashara hao ni Jumanne Kishimba wa Mwanza.
Je Kishimba alitajirika vipi kupitia mauaji ya kimbari dhidi yawatusi yaliyo tokea nchini Rwanda mwaka 1994 ?
Majibu utayapata ndani ya kitabu changu ( Jina linahifadhiwa ) ambacho kitakuwa hewani baada ya mahojiano na wafuatao kukamilika.
1. Jumanne Kishimba mwenyewe
2. Bi Hadija Kishimba mtoto wa Jumanne Kishimba.
Pia jiandae kusoma kitabu kuhusu Bibi Fisi .Katika kitabu hicho pamoja na mambo mengine utausoma uchambuzi wa kina wa kesi ya mauaji dhidi ya bibi Fisi.
Vile vile kitabu kuhusu Juma Njemba kipo jikoni kinapikwa.Kaa mkao wa kula.
Ninaendelea kufanya utafiti kuhusu waganga na wachawi maaurufu waliopata kutikisa Tanzania pamoja na matukio mbali mbali ya kustaajabisha yaliyowahi kutokea Tanzania na nchi jirani.
Waswahili wanasema safari moja huongeza nyingine.Hicho ndo kimenitokea Mimi.
Nikiwa katika safari yangu ya kufanya utafiti uchawi uganga na ulozi nimejikuta napata interest ya kuandika kuhusu matajiri mbalimbali nchini Tanzania na nchi jirani ya Congo ambao utajiri wao inasemekana kuwa umepatikana kichawi.
Iwe umepatikana kichawi au la nitakacho hitaji kujua ni nafasi ya uchawi katika utajiri wao.
Lengo ni kuwa inspire vijana wa kitanzania ambao wana amini hawawezi kufanikiwa bila kutumia uchawi.
Katika hili nitajaribu kufuata nyayo za Napoleon Hill ambae alifanya utafiti kuhusu siri ya utajiri kwa kufanya mahojiano na matajiri mia NNE wa Marekani.
Nilipo kuwa jijini Mwanza kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu bibi Fisi nilikutana na story za MTU anaeitwa Jumanne Kishimba.
Huyu jamaa anatajwa kama moja kati ya matajiri wa Mwanza ambae chanzo cha utajiri wake kinahusishwa na ushirikina.
Inasemekana kuwa Kishimba alifika jijini Mwanza mwishoni mwa miaka ya tkamamemanini akitokea kwao mkoani Shinyanga kwa ajili ya kutafuta maisha ( Mwanza ndo Dar Es Salaam ya kanda ya ziwa )
Kazi aliyo kuwa anaifanya jijini Mwanza ilikuwa ni kuuza sigara ( na pipi?) Kwa kutembeza mitaani ( Street Hooker )
But ghafla mwaka 1994 Kishimba akaibuka kuwa na ukwasi usio shabihiana na shughuli aliyo kuwa akiifanya.
Watu wengi waliuhusisha utajiri wa Kishimba na uchawi .Kwamba ametoa kafara ili apate utajiri.
Pamoja na watu wengi kuamini kuwa utajiri wa Kishimba ni utajiri wa kichawi wapo watu wachache ambao hawakubaliani na hoja hii.
Miongoni mwa watu hao ni jamaa hawa wanne nilio Fanya nao mahojiano ambao wao wanasema kwamba chanzo cha utajiri wa Kishimba ni vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi huko nchini Rwanda mwaka 1994 .
Jamaa hawa wanadai ya kwamba wakati mauaji ya kimbari yanaendelea huko nchini Rwanda wapo mamia ya wafanya biashara nchini Tanzania na DRC ambao walitake advantage of the situation na kupata utajiri wa kutisha. Na kwamba miongoni mwa wafanya biashara hao ni Jumanne Kishimba wa Mwanza.
Je Kishimba alitajirika vipi kupitia mauaji ya kimbari dhidi yawatusi yaliyo tokea nchini Rwanda mwaka 1994 ?
Majibu utayapata ndani ya kitabu changu ( Jina linahifadhiwa ) ambacho kitakuwa hewani baada ya mahojiano na wafuatao kukamilika.
1. Jumanne Kishimba mwenyewe
2. Bi Hadija Kishimba mtoto wa Jumanne Kishimba.
Pia jiandae kusoma kitabu kuhusu Bibi Fisi .Katika kitabu hicho pamoja na mambo mengine utausoma uchambuzi wa kina wa kesi ya mauaji dhidi ya bibi Fisi.
Vile vile kitabu kuhusu Juma Njemba kipo jikoni kinapikwa.Kaa mkao wa kula.
Ninaendelea kufanya utafiti kuhusu waganga na wachawi maaurufu waliopata kutikisa Tanzania pamoja na matukio mbali mbali ya kustaajabisha yaliyowahi kutokea Tanzania na nchi jirani.
Unatutangazia biashara ya kitabu chako umpati mtu kwani uyo nae ni tajiri sasa?
Uzi ushakufa na.kuzikwa huu.Mnao comment kwenye Uzi huu sasa hivi mna nyota za maiti1. Unatafiti kufahamu kama kuna "uchawi" na "ushirikina" au unatafiti kuona jinsi unavyofanya Kazi?
2. Pili,tunaomba katika Kitabu chako utuwekee kabisa na mifano ya matukio ya kichawi ambayo haielezeki kwa akili za kawaida vinginevyo uhitimishe katika Kitabu chako kwamba hakuna uchawi.
Kwa ujumla ushirikina ni imani tu.Mambo yanayohusiana na hayo hata stori zake hazinishawishi kuzisikiliza.