Tetesi: Utata kuhusu chanzo halisi cha utajiri wa Jumanne Kishimba

Andika maana zaidi ya lugha ya kukosa malezi huwa huna hoja. Ila HUTAMTAPELI MTU ANDIKA UJISOMEE... HUMU WATU WAJANJA HUWAIBII KAMWE.

Wewe ni GT? Anyways ngoja nikuelekeze kitu. Ninaweza kuandika kitabu kuhusu kisimi au asili ya neno Mwayego( Mwahego?) Na watu wakanunua kitabu ..Hayo mawazo yako hayafai kukaa kwenye ubongo wa mwanaume rijali
 
Wakati watanzania tunahamasishwa kusoma naona tunahamasikia kwenye kuandika makorokocho.
sasa kishimba si muulize tu hata mwenezi wa chama chake SlowSlow Hili nalo hadi vitabu?
 
Waswahili wanasema safari moja huongeza nyingine.Hicho ndo kimenitokea Mimi.
Nikiwa katika safari yangu ya kufanya utafiti uchawi uganga na ulozi nimejikuta napata interest ya kuandika kuhusu matajiri mbalimbali nchini Tanzania na nchi jirani ya Congo ambao utajiri wao inasemekana kuwa umepatikana kichawi.

Iwe umepatikana kichawi au la nitakacho hitaji kujua ni nafasi ya uchawi katika utajiri wao.

Lengo ni kuwa inspire vijana wa kitanzania ambao wana amini hawawezi kufanikiwa bila kutumia uchawi.

Katika hili nitajaribu kufuata nyayo za Napoleon Hill ambae alifanya utafiti kuhusu siri ya utajiri kwa kufanya mahojiano na matajiri mia NNE wa Marekani.

Nilipo kuwa jijini Mwanza kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu bibi Fisi nilikutana na story za MTU anaeitwa Jumanne Kishimba.

Huyu jamaa anatajwa kama moja kati ya matajiri wa Mwanza ambae chanzo cha utajiri wake kinahusishwa na ushirikina.

Inasemekana kuwa Kishimba alifika jijini Mwanza mwishoni mwa miaka ya tisini akitokea kwao mkoani Shinyanga kwa ajili ya kutafuta maisha ( Mwanza ndo Dar Es Salaam ya kanda ya ziwa )

Kazi aliyo kuwa anaifanya jijini Mwanza ilikuwa ni kuuza sigara ( na pipi?) Kwa kutembeza mitaani ( Street Hooker )

But ghafla mwaka 1994 Kishimba akaibuka kuwa na ukwasi usio shabihiana na shughuli aliyo kuwa akiifanya.

Watu wengi waliuhusisha utajiri wa Kishimba na uchawi .Kwamba ametoa kafara ili apate utajiri.

Pamoja na watu wengi kuamini kuwa utajiri wa Kishimba ni utajiri wa kichawi wapo watu wachache ambao hawakubaliani na hoja hii.

Miongoni mwa watu hao ni jamaa hawa wanne nilio Fanya nao mahojiano ambao wao wanasema kwamba chanzo cha utajiri wa Kishimba ni vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi huko nchini Rwanda mwaka 1994 .

Jamaa hawa wanadai ya kwamba wakati mauaji ya kimbari yanaendelea huko nchini Rwanda wapo mamia ya wafanya biashara nchini Tanzania na DRC ambao walitake advantage of the situation na kupata utajiri wa kutisha. Na kwamba miongoni mwa wafanya biashara hao ni Jumanne Kishimba wa Mwanza.

Je Kishimba alitajirika vipi kupitia mauaji ya kimbari dhidi yawatusi yaliyo tokea nchini Rwanda mwaka 1994 ?

Majibu utayapata ndani ya kitabu changu ( Jina linahifadhiwa ) ambacho kitakuwa hewani baada ya mahojiano na wafuatao kukamilika.

1. Jumanne Kishimba mwenyewe
2. Bi Hadija Kishimba mtoto wa Jumanne Kishimba.

Pia jiandae kusoma kitabu kuhusu Bibi Fisi .Katika kitabu hicho pamoja na mambo mengine utausoma uchambuzi wa kina wa kesi ya mauaji dhidi ya bibi Fisi.

Vile vile kitabu kuhusu Juma Njemba kipo jikoni kinapikwa.Kaa mkao wa kula.

Ninaendelea kufanya utafiti kuhusu waganga na wachawi maaurufu waliopata kutikisa Tanzania pamoja na matukio mbali mbali ya kustaajabisha yaliyowahi kutokea Tanzania na nchi jirani.
Humjui kishimba wewe
 
Wakati watanzania tunahamasishwa kusoma naona tunahamasikia kwenye kuandika makorokocho.
sasa kishimba si muulize tu hata mwenezi wa chama chake SlowSlow Hili nalo hadi vitabu?
Sidhani kama ni kweli, wenyeji wa kagongwa _ Kahama tutaelewana vizuri. Kuna jamaa yangu ambaye anamuita Kishimba mjomba anasemà hakuna cha ndumba wala uganga huo utajiri ni wa ukweli.

Aliiba.
 
ilibakia kidogo sana nimuowe Hadija kishimba tulikutana India akiwa masomoni, ni binti mmoja taanusi sana hivi na hapendi kudharau watu si mtu wa kujikweza, najua aliemuoa ameramba bingo sana.
Ungekuwa unanuka hela now is nasikia jamaa yupo makini sana kwenye matumizi ya pesa zake
 
Unachoandika wala si shida. Ukiona mtu anakimbilia hoja kondefu unapata majibu tu kuwa ni mtupu kichwan.wewe andika anything ila nakwambia hii ya uandishi wa kitapeli watu wengi watakushtukia.

Humu lazima ufaham na watu wazima wenye akili tupo siyo wote form four leavers.huwezi wadanganya all the time.you can fool some people sometime,but you cant fool all the people all the time

Wewe ni GT? Anyways ngoja nikuelekeze kitu. Ninaweza kuandika kitabu kuhusu kisimi au asili ya neno Mwayego( Mwahego?) Na watu wakanunua kitabu ..Hayo mawazo yako hayafai kukaa kwenye ubongo wa mwanaume rijali
 
Waswahili wanasema safari moja huongeza nyingine.Hicho ndo kimenitokea Mimi.
Nikiwa katika safari yangu ya kufanya utafiti uchawi uganga na ulozi nimejikuta napata interest ya kuandika kuhusu matajiri mbalimbali nchini Tanzania na nchi jirani ya Congo ambao utajiri wao inasemekana kuwa umepatikana kichawi.

Iwe umepatikana kichawi au la nitakacho hitaji kujua ni nafasi ya uchawi katika utajiri wao.

Lengo ni kuwa inspire vijana wa kitanzania ambao wana amini hawawezi kufanikiwa bila kutumia uchawi.

Katika hili nitajaribu kufuata nyayo za Napoleon Hill ambae alifanya utafiti kuhusu siri ya utajiri kwa kufanya mahojiano na matajiri mia NNE wa Marekani.

Nilipo kuwa jijini Mwanza kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu bibi Fisi nilikutana na story za MTU anaeitwa Jumanne Kishimba.

Huyu jamaa anatajwa kama moja kati ya matajiri wa Mwanza ambae chanzo cha utajiri wake kinahusishwa na ushirikina.

Inasemekana kuwa Kishimba alifika jijini Mwanza mwishoni mwa miaka ya tisini akitokea kwao mkoani Shinyanga kwa ajili ya kutafuta maisha ( Mwanza ndo Dar Es Salaam ya kanda ya ziwa )

Kazi aliyo kuwa anaifanya jijini Mwanza ilikuwa ni kuuza sigara ( na pipi?) Kwa kutembeza mitaani ( Street Hooker )

But ghafla mwaka 1994 Kishimba akaibuka kuwa na ukwasi usio shabihiana na shughuli aliyo kuwa akiifanya.

Watu wengi waliuhusisha utajiri wa Kishimba na uchawi .Kwamba ametoa kafara ili apate utajiri.

Pamoja na watu wengi kuamini kuwa utajiri wa Kishimba ni utajiri wa kichawi wapo watu wachache ambao hawakubaliani na hoja hii.

Miongoni mwa watu hao ni jamaa hawa wanne nilio Fanya nao mahojiano ambao wao wanasema kwamba chanzo cha utajiri wa Kishimba ni vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi huko nchini Rwanda mwaka 1994 .

Jamaa hawa wanadai ya kwamba wakati mauaji ya kimbari yanaendelea huko nchini Rwanda wapo mamia ya wafanya biashara nchini Tanzania na DRC ambao walitake advantage of the situation na kupata utajiri wa kutisha. Na kwamba miongoni mwa wafanya biashara hao ni Jumanne Kishimba wa Mwanza.

Je Kishimba alitajirika vipi kupitia mauaji ya kimbari dhidi yawatusi yaliyo tokea nchini Rwanda mwaka 1994 ?

Majibu utayapata ndani ya kitabu changu ( Jina linahifadhiwa ) ambacho kitakuwa hewani baada ya mahojiano na wafuatao kukamilika.

1. Jumanne Kishimba mwenyewe
2. Bi Hadija Kishimba mtoto wa Jumanne Kishimba.

Pia jiandae kusoma kitabu kuhusu Bibi Fisi .Katika kitabu hicho pamoja na mambo mengine utausoma uchambuzi wa kina wa kesi ya mauaji dhidi ya bibi Fisi.

Vile vile kitabu kuhusu Juma Njemba kipo jikoni kinapikwa.Kaa mkao wa kula.

Ninaendelea kufanya utafiti kuhusu waganga na wachawi maaurufu waliopata kutikisa Tanzania pamoja na matukio mbali mbali ya kustaajabisha yaliyowahi kutokea Tanzania na nchi jirani.
Kumbe ni promo ya Vitabu.
 
Unachoandika wala si shida. Ukiona mtu anakimbilia hoja kondefu unapata majibu tu kuwa ni mtupu kichwan.wewe andika anything ila nakwambia hii ya uandishi wa kitapeli watu wengi watakushtukia.

Humu lazima ufaham na watu wazima wenye akili tupo siyo wote form four leavers.huwezi wadanganya all the time.you can fool some people sometime,but you cant fool all the people all the time
Ok
 
Yani Kishimba aliingia Mwanza miaka ya Tisini mwishoni, hafu ghafla 1994 akapata Utajiri wa ghafla..!!!!!!!!
 
heri wewe umebarikiwa moyo safi, wengine wanazuia jamaa asitangaze.
kikwazo cha maendeleo ya Waafrika ni waafrika wenyewe
Mkuu u have spoken my mind.I say hii ngozi nyeusi hii dah wacha wazungu waendelee kutuita manyani.
Nywele fupi pua fupi na akili fupi
 
Back
Top Bottom