Tetesi: Utata kuhusu chanzo halisi cha utajiri wa Jumanne Kishimba

Get off my dk

Chief kamwe husitumie mawe wanayokurushia kuwaponda nayo, yatumie kujenga ukuta au ukubwa maamuzi ni yako!

Tafadhali andika kuhusu hao matajiri wa kanda ya ziwa maana kwa tuliokulia mikoa hiyo tunatamani kujua ukweli hasa ni upi na kwa wenyeji wa Mwanza I believe wanaelewa sana tu kuhusu utajiri wa "Ndagu" and maybe be ndio maana tumeibuka hapa kutoka mwaloni tunakurushia shombo la dagaa, hebu tupe hata Preface Tafadhali!

Na kama wewe ni tapeli kweli, be careful, you will be dealt by the same hand that you are dealing!
 
Unaonekana una akili kidogo..Let me ask.u a QN ..Hapo utapeli unaingia wapi? Kwamba ntauza kitabu hewa au?
 
Sasa chief kama naonekana nina akili kidogo nitaweza kweli kukujibu?

Anyway subiri nijitutumue;....... kwenye ule uzi wa Jumanne Njemba hukutoa muendelezo kama ulivyoahidi lakini pia hata heading ya huu uzi ni tofauti na kilichomo ndani, ndani ni tangazo la biashara! Na pengine hii pia ni style yako ya kufanya utafiti, unaanzisha mada kuhusu mtu kama Kishimba ambae hata baadhi ya wanae na ndugu, jamaa na marafiki wanaomfahamu kindakindaki wao humu nao watatoa yao nawe utakusanya unayohitaji bila uchungu zaidi ya bando lako tu then utatengeza kitabu chako halafu tutanunua!

*Sijui kama nimeweza kujibu inavyotakiwa. ..
 
huyu jamaa ni mwepesi tu. akisikia sikia stories anauna unga na zake anakuja kufungua uzi. wanaofaham wakimshukia anabaki tu kutumia maneno machafu ya hovyo hovyo hata kutete alichosema huwa hawezi. alishawahi kudai kuna mchawi aliua watu zaidi ya 2000 huko kigoma.wwenye baba,mjomba wakaja kwenye uzi. jamaa akalala mbele... mpaka leo . ndo akaja tena kutest zali huku.. kiufupi ni mtu anayewaandaa watu kuja kuwapiga pesa....wewe mwenyewe unaona maneno aliyokuita. "una akili kidogo"

unadhani jamaa ni mzima huyu? nakwambia hali yake ilianza kidogo kidogo lakini naona kama inazidi kuwa mbaya. ni kumwombea tu.
Sasa chief kama naonekana nina akili kidogo nitaweza kweli kukujibu?

Anyway subiri nijitutumue;....... kwenye ule uzi wa Jumanne Njemba hukutoa muendelezo kama ulivyoahidi lakini pia hata heading ya huu uzi ni tofauti na kilichomo ndani, ndani ni tangazo la biashara! Na pengine hii pia ni style yako ya kufanya utafiti, unaanzisha mada kuhusu mtu kama Kishimba ambae hata baadhi ya wanae na ndugu, jamaa na marafiki wanaomfahamu kindakindaki wao humu nao watatoa yao nawe utakusanya unayohitaji bila uchungu zaidi ya bando lako tu then utatengeza kitabu chako halafu tutanunua!

*Sijui kama nimeweza kujibu inavyotakiwa. ..
 
yaan katika yote yaliyopo dunian umeamua kufanya utafiti juu ya vyanzo vya utajiri wa watu..??amin nakuambia watu kama nyie mnauwezo wa kufanya utafiti aina zote za papuchi na visimi dunian..hongera mkuu.!!!
 
Likud usije kumsahau Mzee NYAMAGATI Mzanaki Katiri zaidi ya Alshabab mastermind wa Mauaji yooote ya kulipiza kisasi ktk Mkoa wa Mara na Tanzania kwa ujumla. Kwa sasa amesha RIP baada ya lile tukio la Mauaji ya watu 17 huko Musoma. Ana historia ya kutisha inatosha kwa kuiandikia kitabu. Work on it mkuuu
Lete story yake inaonekana ana mengi sana.
Nakumbuka yale mauaji ila sijapata muendelezo Wa watuhumiwa na yaliyojiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom