Tetesi: Utata mkubwa ripoti ya CAG , kuna uhariri umefanyika

Yani unadhani CAG anapokea taarifa kutoka stendi au unamchukuliaje wewe
 
Wewe kenge Mataga nakukumbusha tu Kicheere ni mteule wa Jiwe aliyemuamini baada ya kuona Assad anamkaanga sana
Mkuu huu ni utawala wa awamu ya sita au hujamsikia Mama akisisitiza hilo na kumwambia CAG asema tu bila kupindisha ulimi? Kwahiyo CAG sasa hivi Boss wake ni Mama Samia na si Jiwe tena.
 
Heri kuwa na mwizi anaefanya vitu vya kuonekana!
Nyie ndiyo wale wazazi mnaoweza kuwa encourage watoto waibe kwa kuwa wanakuketea pesa za matumizi kutokana na huo wizi. Wizi ni wizi tu hata kama ni wa kuku.
 
Kufa na wewe kabisa ili ukasimame nae huko motoni. Mpumbavu, mshenzi, mzandiki, mpuuzi, hayawani mkubwa wewe. PUMBAVU NA PUMBA ZAKO.

LEGACY ipi?? Legacy ya shetani ni kunyonya damu. Ulifikiri zama za uongo na fitina zitadumu.

Ila mungu mwache aitwe mungu.
 
Watu wanahangaika sana kuposti. Kusifu au kukashifu, mzee alikuwa na mazuri na mapungufu pia..ndivyo binadamu tulivyo...tukubali kulikuwa na mazuri na mabaya. Tatizo lipo kwenye mizani imeegemea upande upi......
Acha Ujinga, uaji na jizi lile. Uzao wa ibilisi.
 
Mjinga bibi mkubwa wako kwani umeliazimishwa kusima?
Unatetea lile jitu liuaji, limeshaoza huko. Kenge wewe.

Sasa km clouds walitoa risiti kwa wizara, na hao wizara wanajua malipo si halali , wamepiga, yako nje ya bajeti ,ulitarajia risiti wazioneshe. Kwahiyo mchezo wa kupiga walicheza wizara na clouds kwa makubaliano.

TAGa nasikiaga kila siku huwa hamnaga akili nyie, leo nakubali hilo.
 
Katika kanuni za uwandishi kuchanganya herufi kubwa na ndogo ni sawa na kufanya fujo.

Mkuu unataka kuniambia shirika letu pendwa la ndege linajiendesha kwa faida?

Nasubiri majibu mkuu.
 
Mtapata tabu sana. Sasa mmehamia kuilaumu serikali yenu wenyewe.
 
Ndugu elewa tatizo Ni kutokuwepo kwa mkataba uliopelekea hayo malipo.
CAG anataka akague he hii 600 inaendana na mkataba na je vipengele vya mkataba vilitekelezwa au vilitekelezwa.

 
Mmesomewa original report, tulieni msumali uingie
 
Ni ngumu mno kufuta legacy ya Magu, halafu hii naiona ni bad timing kwao, watu wametoka kwenye maombelezo, halafu ghafla kukatokea na u-turn kama hii?
Kikawaida, watu waliowengi washajua lengo la hiki kikundi nikutaka kumchafua tu, sijui billion ngapi zimepotea, kwendelea zao huko na unafiki wao.
Hivi wewe utawambia nini watu wa Dodoma, mwanza, dar etc kuhusu kazi za JPM? Vituo vya afya, hospital, madaraja, vivuko, miradi mikubwa ya kimkakati you name it, halafu kitokee kikundi kimoja tu kituambie kupitia report ya kinafiki kama hiyo.
Kumpoteza Magu kwenye mioyo ya watz tuliowengi, nkujidanganya tu, watafute kick nyingine siyo hii report uchwara.
 
Huna akili hata kidogo hiyo editing ifanywe ili iweje?
Mbona mnalazimisha kupendwa wakati siyo wasafi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…