Tetesi: Utata mkubwa ripoti ya CAG , kuna uhariri umefanyika

Pumbaaaaaf......sana jinga mkubwa usiye na akili!!!
Wewe ndo kina Magufuli mapenzi niue!! Ati CAG ame-edit report??? Yaani Unataka kutushawishi kuwa Mhe. Rais Madame Sameer Suluhu Hassan amepokea report ya CAG iliyo chakachuliwa kweri? Wewe unatakiwa ukamatwe na upelekwe Lupango haraka!!! Usitake kumpotosha Rais SSH kwa mapenzi yako ya kijinga kwa hayati Jiwe.....nonsense!
Kubwa jinga sana.
 

Mwambie huyu Taga kubwa jinga!!!
Hayati Jiwe alikuwa kila hotuba zake akisema anatekeleza....ILANI YA CCM YA MAGUFULI (SIYO YA Watz)....SERIKALI YA MAGUFULI( NOT OF ALL TANZANIANS).
Hivo marehemu hakuwa akitekeleza ILANI YA CCM baali ya kwake kichwani na mfukoni....!!!
 
Mleta uzi anasema tayari SGR imeanza kuingiza faida aisee. Elimu. Elimu. Elimu
 
Mleta uzi anasema tayari SGR imeanza kuingiza faida aisee. Elimu. Elimu. Elimu
Kuna mataga ni very hopeless..!!
Yaani mradi bado unajengwa haujakamilika halafu anatokeza Taga mmoja chizi anataka kuona FAIDA....!!! What a nonsense question??
Kweli CCM kuna vihiyo wa kufa mtu!!
 
Yaani asilolijua SSH na wenzake watu wengi wanamkubali JPM kuriko hata ccm
Mimi ni mmoja wao. Nilimkubali zaidi JPM kuliko ccm, na mpaka sasa nina mashaka makubwa sana kama ccm haitaturudisha kwenye zama zile za wizi wa kina kikwete. Kadri ninavyoona msoga gang inazidi kupaza sauti, naona watamwelemea mama na kuirudisha ccm kule kule ili watimize ndoto zao na kulinda maslahi yao.
 
Kumbe hujaelewa tafuta wataalam wakueleweshe kuhusu ripoti ya CAG kwa ufupi sana kumbukumbu za risiti huwa hazipotei (traceability)

Ila katika yote naona hoja yako kuu ni kumtetea mwendazake sasa ungetafuta namna nyingine yenye ushahidi

Sent from my SM-N915F using JamiiForums mobile app
 
KWanza (kama ni kweli ) TRA si unapeleka risiti za kodi ama? Halafu CAG kasema Clouds walilipwa bila mkataba, so whether mmelipa na risiti mnazo but hiyo pesa mmepewa bila mkataba, ndio swali la CAG. Wajina sana hawa watu.
Ingawa pia hata mimi siamini kama ile report ya CAG ni original, nina hakika MWamba angekua hai, Kichere asingeisoma vile, lasima alikua na report nyingine. We all knows kwanini Assad aliondolewa nafasi hiyo na akapewa Kichere, Kichere kwa muda wote aliokaa ofisini hajawahi kukosoa, mfano ni wa hiyo hasara ya ATC pamoja na hizo hizo pesa za Clouds, kwanini haku report mwaka jana mwamba akiwa HAI!?
 
La kuvunda halina ubani. Sukuma Gang subirini report ifanyiwe kazi,hii kupulizia perfume kwenye uharo haijawahi kusaidia hata siku moja. Mbona mnahangaika kama kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachwa?
 
Magufuli alikuwa ni mwizi wa rasilimali za uma.
Kalitamke Hilo pale kariakoo au kwenye vituo vya daladala...usijifiche humu...tamka hadharani maneno hayo...usichojua watu in millions bado JPM yupo moyoni....Hawa elites akina Ndugai na wenzake they don't know what is coming for them...wait and watch..
 
Kutokana na kinachoendelea kuna makundi 3 - anti JPM, pro JPM na wale sitting on the fence. Sometimes the truth is said in silence. Kinachosikitisha vita ya maneno miongoni sisi kwa sisi na personal attacks badala ya issues, huku high power wako busy forming allegiances ni hatari. Tukishaamka tutakuwa tumeliwa vibaya - na lazima kuna watu wananufaika na hali hii inayoendelea 'divide et impera'.

Tuombe Katiba mpya….
 
T

3.Hili suala la risiti imefanyika mwak 2018, Kichere alipaswa kulisema kwenye ripoti ya mwaka jana na si mwaka huu.



ASANTE JOHN
FICHENI UJINGA WENU WAKUTOJUA NINI MAANA YA AUDIT REPORT:
1. Nauwakika mwaka jana haikuwepo kwasababu walikuwa wansubiri wizara ilete risiti.
2. mwaka huu imetokea kama audit query mana ni kiporo na wameshindwa kuwasilisha,
3. Pia kumbuka itaendela kutoke ahata miaka 100, mpaka hapo watakapoweza kujibu hiyo issue, audit huw ahaifutiki mpkaa ujibu hata kama ni ya mwaka 1960.
 
Inamaana wizi wa meko na ukatili wake wewe hujauona? Pumbavuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…