illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Achana na ngumi za makundi nitajie ugomvi wa street fight man to man ambao unaukumbuka Pina alipigwa. Sijui kama unakumbuka kilichomtokea yule baunsa wa bills anayeonekana kwenye wimbo wa Ray c, Akachube mkristo alikuwa hakai block alikuwa anakaa kwa wahuni nyuma ya biafra naye alikuwa hawezi ngumi alikuwa anatumia pembe jeo kama kina lord eyes kipindi hicho cha nako to nako.Mimi sikuwahi kukaa blok 41 Mimi nlikulia ushenzini kino shamba,watu wa huko ndiyo walikuwa wana fagilia flag letu hata Jamaa yenu hko aliyekuwa anaitwa akachube mkristo(rip)wote mtiti wetu na rekod zetu alikuwa anazijuaa...in short pina siyo kivile pina igomvi WAKE msingi ulikuwa kisa mademu
Ova