mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kalapina mweupe tu we huyo kuna watu tumleaa....achana na kikosi CHA mizingaKwa mnaofuatilia mziki wa hip hop nadhani kalapina sio jina geni, alisifika sana mwanzoni mwa mwaka elfu mbili kwa ubabe wake na umahiri wa kupigana kunyanyua vitu vizito nk, wana kundi lao linaitwa kikosi cha mizinga lipo kinondoni block jamaa walikuwa wanafanya sana mazoezi ya kupigana, mmoja wao alipata dili la kuwafumdisha askari wetu karate....kalapina alisifika sana kwa ubabe ambapo aliwahi kuwateka wasaani kadhaa wa bongo fleva akiwemo solo thang ambaye mwenyewe alikiri katika wimbo wake fulani nadhani zilikuwa hatua za ukuaji kwani mwaka 2010 aligombea udiwani kwa tiketi ya CUF ila kura zake hazikutosha na mwaka 2015 aligombea ubunge jimbo la kinondoni kwa tiketi ya ACT wazalendo mara ya mwisho nilikuwa namuona kwenye kipindi cha clouds TV cha hatakati ya kupambana na madawa ya kulevya najaribu kuwaza hao watekajo waliomteka ROMA wangekuja na style gani kama huyu jamaa angekuwa anaendelea na zile harakati za kuimba hiphop ngumu.
Kalapina wako suala la polisi muoga maana hajawahi kulala ndani Kabla ya kkosi kulikuwaa na kundi kinaitwa indiana polis watu tushahawakimbiza sana......
OvA