Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Kwa mnaofuatilia mziki wa hip hop nadhani kalapina sio jina geni, alisifika sana mwanzoni mwa mwaka elfu mbili kwa ubabe wake na umahiri wa kupigana kunyanyua vitu vizito nk, wana kundi lao linaitwa kikosi cha mizinga lipo kinondoni block jamaa walikuwa wanafanya sana mazoezi ya kupigana, mmoja wao alipata dili la kuwafumdisha askari wetu karate....kalapina alisifika sana kwa ubabe ambapo aliwahi kuwateka wasaani kadhaa wa bongo fleva akiwemo solo thang ambaye mwenyewe alikiri katika wimbo wake fulani nadhani zilikuwa hatua za ukuaji kwani mwaka 2010 aligombea udiwani kwa tiketi ya CUF ila kura zake hazikutosha na mwaka 2015 aligombea ubunge jimbo la kinondoni kwa tiketi ya ACT wazalendo mara ya mwisho nilikuwa namuona kwenye kipindi cha clouds TV cha hatakati ya kupambana na madawa ya kulevya najaribu kuwaza hao watekajo waliomteka ROMA wangekuja na style gani kama huyu jamaa angekuwa anaendelea na zile harakati za kuimba hiphop ngumu.
Kalapina mweupe tu we huyo kuna watu tumleaa....achana na kikosi CHA mizinga
Kalapina wako suala la polisi muoga maana hajawahi kulala ndani Kabla ya kkosi kulikuwaa na kundi kinaitwa indiana polis watu tushahawakimbiza sana......

OvA
 
Kwa mnaofuatilia mziki wa hip hop nadhani kalapina sio jina geni, alisifika sana mwanzoni mwa mwaka elfu mbili kwa ubabe wake na umahiri wa kupigana kunyanyua vitu vizito nk, wana kundi lao linaitwa kikosi cha mizinga lipo kinondoni block jamaa walikuwa wanafanya sana mazoezi ya kupigana, mmoja wao alipata dili la kuwafumdisha askari wetu karate....kalapina alisifika sana kwa ubabe ambapo aliwahi kuwateka wasaani kadhaa wa bongo fleva akiwemo solo thang ambaye mwenyewe alikiri katika wimbo wake fulani nadhani zilikuwa hatua za ukuaji kwani mwaka 2010 aligombea udiwani kwa tiketi ya CUF ila kura zake hazikutosha na mwaka 2015 aligombea ubunge jimbo la kinondoni kwa tiketi ya ACT wazalendo mara ya mwisho nilikuwa namuona kwenye kipindi cha clouds TV cha hatakati ya kupambana na madawa ya kulevya najaribu kuwaza hao watekajo waliomteka ROMA wangekuja na style gani kama huyu jamaa angekuwa anaendelea na zile harakati za kuimba hiphop ngumu.
Kwa taarifa yako solo alitekwa langata enzi hizo kulikuwa na shoo wkaTi huo wakina pina walikuwa na pikup Yao waliyikuwa wanaitumia kama ndy gari yao,Kitila kwaooo kote mziki walikuwa wanakutana na Sisi na tuliwatiaa sana makonzi.
Point yako hasa ni nini

OvA
 
Kwa zile tambo na maneno ya majigambo kutoka Kwa Roma ulitegemea angesanda kiboya namna hii?!

Vitu vingine hazitakagi ujuaji.
 
Hata angekuwa Undertaker angekaa tu kwani ukija kutekwa huwa wanakuja na vijiko mfukoni?
 
Kwa taarifa yako solo alitekwa langata enzi hizo kulikuwa na shoo wkaTi huo wakina pina walikuwa na pikup Yao waliyikuwa wanaitumia kama ndy gari yao,Kitila kwaooo kote mziki walikuwa wanakutana na Sisi na tuliwatiaa sana makonzi.
Point yako hasa ni nini

OvA
Naomba nikutambue kama hutojali mimi nilikuwa naishi opposite na maryland bar kwenye ghorofa la mzee salama star. Sidhani kama unaijua kikosi vizuri. Unamjua charles Boaz alikuwa anafundisha ffu karate naongelea kikosi wale waliokuwa walinzi kipindi wamekuja lost boys. unaposema sisi unamaanisha nyinyi kina nani?
 
Leta defender, leta wajeda....
Umenichenikesha sana jamaa kasema lete wagambo lete difenda lete wajenda namkinishika hakikisha sifii hapa nichinjeni mkanitupe kwenye daraja la mkapa sasa kaletewa tu noah aise akaendelea kusema nikamateni si ,limshindwa tibaijuka sasa sijui hata kama atarudi kuimba labda abadilishe miondoko aimbe taarabu
 
Natabiri mwaka huu hauishi Roma atatoa nyimbo nyingine yenye maneno makali zaidi.
 
Pamoja na yote, namuonea huruma sana kwa story iliotolewa anasikitisha....
 
"Nyie ndo mlionituma mnauwezo wa kunitetea" nadhani hiki kipande unakifahamu kwenye wimbo wake wa viva Roma wakati anazungumza na waandishi kuna sehemu alisema "niliwambia jamani sisi ni watu wadogo sana" hii kauli umeitafsiri vipi ......upelelezi huwa unahusika sana na kujua motive au lengo la muhusika ndio maana wa mitego walimwachia kwani alionekana hana mtu nyuma yake ila ni kupenda kiki waza kwa sauti aise
 
Watekaji wanatumia akili zaidi kuliko nguvu...
Mkuu utekwaji unahusisha idara nyingi ile idara ya mwisho ndio inakuwa ya nguvu mali ila kuna watu wanakaa ofcn kabisa karibia mwaka mzima wanatengeneza mchongo hebu angalia documentary hii kama una muda
 
Naomba nikutambue kama hutojali mimi nilikuwa naishi opposite na maryland bar kwenye ghorofa la mzee salama star. Sidhani kama unaijua kikosi vizuri. Unamjua charles Boaz alikuwa anafundisha ffu karate naongelea kikosi wale waliokuwa walinzi kipindi wamekuja lost boys. unaposema sisi unamaanisha nyinyi kina nani?
KABLA YA KIKOSI KULIKUWEPO NA KUNDI LINAITWA INDIANAPOLISI HAPO BLOK 41,WAKATI HUO PINA HATA HAJULIKANI
IKIPOKUJA KIKOSI CHA MIZINGA WALIKUWEPO PINA,CHIS,AMANI,DANI MCHEZA KARATE.....NAWENGINEO KIKOSI KWETU WALIKUWA WACHUMBA TU NA WAMITUONA LAZIMA WAPIGE GOTI .......
UTEKAJI WAO ULIKUWA KWA WATOTO WA KISHUA WATOTO WA OBAY NA MASAKI....
INDIANA POLIS NKITAJIAAA HAPO UTAELEWAAA HATA SUGU ANALIJUAAAAA

OVA
 
Pamoja na yote, namuonea huruma sana kwa story iliotolewa anasikitisha....
Kaliwa na katulizwa Mimi sikubali bora nife kabisa ujinga kama huo bora Ben saanane na MWINUKA ukutwe mabwepande maana na wao watakufa tu
 
KABLA YA KIKOSI KULIKUWEPO NA KUNDI LINAITWA INDIANAPOLISI HAPO BLOK 41,WAKATI HUO PINA HATA HAJULIKANI
IKIPOKUJA KIKOSI CHA MIZINGA WALIKUWEPO PINA,CHIS,AMANI,DANI MCHEZA KARATE.....NAWENGINEO KIKOSI KWETU WALIKUWA WACHUMBA TU NA WAMITUONA LAZIMA WAPIGE GOTI .......
UTEKAJI WAO ULIKUWA KWA WATOTO WA KISHUA WATOTO WA OBAY NA MASAKI....
INDIANA POLIS NKITAJIAAA HAPO UTAELEWAAA HATA SUGU ANALIJUAAAAA

OVA
Dani ndiyo Boaz aliyekuwa anafundisha karate ffu kwa sasa ana kula unga balaa indiana apolis hawakuwa watata kilikuwa ni kundi tu la ma brother man mi nilikuwa nilikuwa namaliza la saba kumbukumbu mwaka 94 au we ni mrangi mtoto wa mzee salama star ambaye alikuwa baba mwenye nyumba yetu?
 
Mimi sikuwahi kukaa blok 41 Mimi nlikulia ushenzini kino shamba,watu wa huko ndiyo walikuwa wana fagilia flag letu hata Jamaa yenu hko aliyekuwa anaitwa akachube mkristo(rip)wote mtiti wetu na rekod zetu alikuwa anazijuaa...in short pina siyo kivile pina igomvi WAKE msingi ulikuwa kisa mademu

Ova

Back
Top Bottom