mamaudaku
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 706
- 467
Jambazi Bashite
Huyu bashite anataka kupoteza issue zake hao kina babu tale akili zao za zero brain wanafikiri watanzania wote ni wasanii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambazi Bashite
unaonekana umetanuka kwelikweli uwo .....wako....Roma aliimba akasema wamkamate hata wamtupe kwenye daraja la Mkapa so muwe wapole maneno yanaumba unachokiomba ndio unachopewa,hata maandiko yanasema motto akiomba mkate hauwezi kumpa jiwe unampa mkate
Nahic baada ya baraka za kinafki za ******** kwa ney"wapo"mkatolik alikuwa anataka kuachia katrina wameona aibu bashite na jesh lake wanataka isitoke#tunatak vyeti
Duh hii comments imeandikwa ki makini sana. Roma hawezi kuwa na wazazi wawili, pili haya maswala ya kupotea kwa watu hapo Tanzania sasa imekuwa kama movie na ni vigumu kujua lipi ni kweli. Mmoja kapotea miezi kadhaa lakini habari za awali zilisema serikali ilihusika baadae malumbano yakaanza kwa wenyewe kwa wenyewe kwa kutumia gazeti lao kuwa si kweli. Pili hua siamini sana watu wanaoandika kwanza matatizo yao katika social media halafu baadae yanatokea watu wengine siyo kama hatuna uchungu na kupotea kwao lakini inakua ni vigumu sana kuamini moja kwa moja. Kwangu mimi hizi naziita ni movie kama zingine za Magufuli, Makonda, UKUTA, KATA FUNUA. Sina imani na hayo yote na naomba niwe Thomaso siamini pia kama wamepotea. Baba ya Saanane sijamsikia tena wala CHADEMA. Ila kama Serikali inahusika basi itakua ni jambo la ajabu sana maana sioni kitu chochote kibaya ambacho Roma kakifanya labda kama Serikali na watendaji wake wana vichwa vya panzi kama wanaoshabikia hii stori kuwa ya kweli.Kwahiyo serikali ndo inauhusiwa kushika watu bila kutoa taarifa juu ya kushikwa kwao? Acha ubashite wa kiwango cha lami. Simpo unasema tatizo lipo wapi! Km huna cha kuongea bora ka kimya he is a human not a pig. Hata nguruwe akipotea mwenye nae humtafuta, halafu msiwe mnachukulia siasa kila kitu. Una fahamu nini maana ya binadam wewe? Embu wewe kua ndio mke baba au mama wa Roma au ndugu tu. Ni bora kunyamaza kuliko kuongea ujinga kwenye mambo ambao ni sensitive kwa mustakabari wa taifa.
Sasa waulize serikali usiniulize mimi, maana tatizo habari zenyewe zinakingana wengine wanasema kapotea na wengine wanasema kashikwa na polisi, ndiyo maana mimi binafsi siamini naona ni uzushi tu kama wa Ben Saanane.Ameshikwa kwa sababu gani ?na kwanini kama anakosa wasimfungulie mashitaka.sasa anashikiliwa unataka nyumbani kwake waweke msiba au wafanye nini kama baba wa familia anapotea kama kuku.ukiona hivyo hatuko salama hata kidogo.muda si mrefu tutapuliziwa sumu kama syria.eee mungu tunusuru na haya.mungu uchelewa kutujibu lakini atatenda haki kwa wakati.
Kafanyaje, acheni ushakunaku, nyie ndio wahusika wakuu. Mmeona mmepigwa stop propaganda majukwaani sasa mnataka serikali kupakwa matope. HamtawezaSizonje babaake Bashite kua na huruma basi..
Nimeelewa msingi wa hoja yako, HUAMINI, ni sinema tu zinazoendelea, sina hakika una kiwango gani cha kujua siasa za dunia na tanzania. Kila kinachotekea kwa upeo wako ni sinema. Naomba nikuache hapo ulipo uendelee kuangalia sinema. Ukiona imeisha naomba unijulishe tuanze kuchambua sinema. Kuanzia mtunzi, muongozaji, waigizaji, mgogoro, na hatima ya sinema ilivyokua. Asante. "Some people appear smart until they speak"Duh hii comments imeandikwa ki makini sana. Roma hawezi kuwa na wazazi wawili, pili haya maswala ya kupotea kwa watu hapo Tanzania sasa imekuwa kama movie na ni vigumu kujua lipi ni kweli. Mmoja kapotea miezi kadhaa lakini habari za awali zilisema serikali ilihusika baadae malumbano yakaanza kwa wenyewe kwa wenyewe kwa kutumia gazeti lao kuwa si kweli. Pili hua siamini sana watu wanaoandika kwanza matatizo yao katika social media halafu baadae yanatokea watu wengine siyo kama hatuna uchungu na kupotea kwao lakini inakua ni vigumu sana kuamini moja kwa moja. Kwangu mimi hizi naziita ni movie kama zingine za Magufuli, Makonda, UKUTA, KATA FUNUA. Sina imani na hayo yote na naomba niwe Thomaso siamini pia kama wamepotea. Baba ya Saanane sijamsikia tena wala CHADEMA. Ila kama Serikali inahusika basi itakua ni jambo la ajabu sana maana sioni kitu chochote kibaya ambacho Roma kakifanya labda kama Serikali na watendaji wake wana vichwa vya panzi kama wanaoshabikia hii stori kuwa ya kweli.
Wewe kuniita mimi Bashite hainisumbui maana mwenyewe najijua kama ni Bashite ama siyo halafu bora kuwa Bashite kuliko kuwa mtumwa wa kuadanganywa na wanasiasa kila kukicha. Watu ambao mnajifanya mna akili kumshinda Bashite lakini mnashindwa kutumia akili zenu na kuchezewa na wanasiasa kama wendawazimu kila kukicha ni hatari sana.
Habari wakuu nimekuta bandiko katika ukurasa wa Prof. Jay kuhusu kukamatwa kwa msanii ROMA na kuchukuliwa kwa baadhi ya vitu vya studio ya Tongwe record sijui ni kiki au kweli? Mwenye kujua kinachoendelea
=======
View attachment 491832
Baada ya kuzagaa kwa taarifa kuhusu kukamatwa kwa Msanii Roma Mkatoliki akiwa studio na kupelekwa kusiko julikana, Muungwana Blog imefika katika studio za Tongwe Records jijini Dar es salaam ambapo mkasa mzima ulikuwa hivi...
Kwa mujibu wa Mashuhuda (Majina yanahifadhiwa) walio ambao pia wanaishi katika nyumba ambayo inapatikana studio ya Tongwe, wameijuza Muungwana kuwa April 5, 2017 ambayo ilikuwa ni jana, katika majira ya Saa moja jioni ilionekana gari aina ya Noah nyeusi nje ya studio hizo, ambapo walishuka watu zaidi ya Watano na kuingia ndani ya studio hizo.
Watu hao bila ya kujitambulisha walitamka kuwa wanamuhitaji Roma na mwenzake ambapo walimchukua na kutoka nae nje, na baada ya muda kidogo walirejea ndani na kuwachukua wengine watano akiwemo na Prodyuza wa studio hiyo Anayeitwa Moni.
Mbali na kuwachukua watu hao pia mashuhuda hao wemeeleza baadhi ya vifaa vya studio hiyo pia vimebebwa ikiwemo TV, na Computer.
Kwa Mujibu wa Mwanasheria wa Studio hiyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Edin ameiambia Muungwana Blog kuwa nikweli tukio hilo limetokea na mpaka sasa hawajui Roma na wenzake wamepelekwa wapi na hivyo hawezi kuelezea zaidi mpaka atakapojua walipo wakina Roma, ambapo aliongeza kuwa anakwenda kuripoti katika kituo cha polisi cha Oysterbay Jijini humo.
Chanzo: Blogs
Mada kuhusu kutekwa kwa Ibrahim Musa (Roma Mkatoliki)
1. Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki
2. Kutekwa kwa Roma: Wasanii na wanafamilia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari
3. Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo
4. Tutampataje Roma kwa kutumia namba zake za simu?
5. TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!
6. Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’
7. Wazara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, haijui ROMA alipo
8. Special thread: Kampeni ya kumsaka Roma nchi nzima kila sehemu
9. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Nimeshtushwa kwa kupotea Roma na wenzake
10. Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki
11. Paul Makonda: Haitafika Jumatatu kabla hatujampata Roma
12. Kupotea kwa Roma Mkatoliki: Kibatala, Lissu na wanasheria wa TLS kufanya yao
13. Paul Makonda: Haitafika Jumatatu kabla hatujampata Roma
14. Sugu: RC akisema atawatoa akina Roma Jumapili, ni kazi gani amewapa ambayo anajua hadi siku hiyo
15. Sirro: Sakata la kina Roma kutekwa ni jambo la kawaida, awashangaa wasanii na Makonda kuingilia
16. Roma Mkatoliki na wenzake wapatikana, wapo Kituo cha Polisi Oysterbay

Shikamoo mkuuView attachment 493593
Mkuu ongezea na hii, ili dot zigonge vizuri, nimekupa haki miliki [emoji38] [emoji38] [emoji38]