Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

yaani siamini, Nchi inaendeshwa kwa kiki. yaani yote haya yamefanyika ili bashite atakapo itisha press conference waandishi wamuandike kuwa ameshiriki kumpata Roma. ze comedy zimezidi awamu hii. ukistaajabu maigizo ya bandarini utaona drama ya bashite na roma
 
Unajitahidi kutuma majengo yaliyojengwa na hao wanaume zako onyesha ya kwenu huko kolomije
IMG-20170328-WA0005.jpg
 
Aisehh nchi imekuwa ya kamata kamata !! Haya mambo niliyasikia mataifa mengine mengine nikawa nawadharau kumbe eh ni rahisi rahisi tu hata sisi yametukuta.

Wakimaliza na wenye mawazo tofauti watarudi humo humo.

Ndugu, Ulifikili mambo hayo yako jehanamu na sayari ya mars eeeeh!!?

Ndiyo hivyo sasa yako katikati yetu.
 
Sasa Mimi ninachojiuliza, ni hivi, sasa bidhaa za viwanda vilivyojengwa na vitakavyojengwa japo bado viwanda ni Sera ya kufikilika ,,,, ni nani atakaye nunua bidhaa kama watu wataisha na kutekwa kwa kasi kiasi hiki aiseeeeh!!!

Au bidhaa zitakuwa zinajifanyia automatic recycling tunapata hela baada ya bidhaa kuzalishwa ; zitakuwa siyo kuuza ??

Aiseeeeh!!

For sure, I am thinking a lot about this incredible circumstance!
 
Wananchi tunatakiwa kuamka tukitegemea wanasiasa kutusaidia tutaisha watabaki wao
 
Watu Tukio La ROMA wanahusisha na Siasa huo ni UJINGA!

ROMA NI binadamu kama binadamu wengine yeye sio wa kwanza kutekwa wala wa mwisho! Ni Lazima Mazingira ya Tukio yaangaliwe! Kama mlimsikia Mmiliki wa studio ya Tongwe alisema Walifika watu 5 wakiwa kwenye Noah wakamuulizia MMLIKI WA STUDIO na ROMA hao wengine hawakuhitajika......sasa nashangaa kuona polisii inamuachaa huru mmiliki wa studio bila kumuhoji na kumuweka chini ya ulinzi wakati yeye ndio alikuwa wa kwanza kuuliziwa

Pia vifaa vya studi vilichukuliwa hili pia ilitakiwa wahojiwe kuna nini nyuma ya Pazia Kwanini iwe studio yao tuu? Kwanini isiwe kwa NAY wa mitego.....polisi ilitakiwa wawakamte marafiki wa karibu wa romaaa.....familia za mmiliki wa studio na marafiki zake mawasiliano yake kabla ya vijana kupoteaa huwenda wakawa na Matatizo yao then wanahusisha na siasaa

Acheni kuhusisha siasa na hili tukio
 
Yule mvamizi WA clouds vipi?kwani ameacha tabia mbaya ?
 
Now and Then..Usimsahau mchizi Roma
Now and Then..Usimsahau mchizi Moni
[HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMoni[/HASHTAG]
 
Na bado watatekwa wengi tuliyataka wenyewe waislam wametekwa sana na baadhi yao Hawakuomekana tena wengine wameonekana wakiwa vilema watanzania hawakupaza sauti haki za binadam hawakupaza sauti taasisi zote kimya mashekh zanzibar walitekwa baadhi ya watanzania walibeza eti amejiteka sasa yanawafata watanzania wote bila kuchagua ndio tunaamza kupiga kelele huo ni mfano wa ng'ombe na simba. simba alikuwa na ng'ombe wa 3 watatu mwekundu mweupe na mweusi simba alivyo hisi njaa akaona atapataje kumla ng'ombe akatumia mbinu kuwaambia. Ng'ombe mweusi na mwekundu kwamba yule ng'ombe mwupe atatuponza akija adui atatuona tulipo sasa mnaonaje mkiniruhusu nikamala ili akija adui tusionekane wale kwa ujinga wao wakakubali akamla wengine wachekelea kumbe hawakujua simba lengo lake ilivyo fika hawamu yapili akamwanbia ng'ombe' mweusi unamuona huyu ng'ombe mwekundu nae anaoneka ingawa ni kwambali lakini atatuponza kwa adui akija unaonaje nae ukiniruhusu nikamla? Yule ng'ombe mweusi kwa ujinga wake nae akamruhusu sasa akamala kimbembe kinakuja ilivyo fika zam zam ya mweusi simba anamwabia sasa nizamu yako kuliawa sasa ng'ombe mweusi anasemaje sasa kumbe nimeliwa siku nilivyo ruhusu ng'ombe wa kwanza kuliwa na mimi ndio siku hiyo nililiwa pasipo kujua sasa haya ndio yana wakuta watanzani wakati waislam wanatekwa na kupotezwa kwa baadh ya watanzania walifurahia jambo hilo kumbe hawakujua la baadae sasa yanawakuta wote ndio wanapaza sauti mmechelewa mlitekwa walivyo anza kuwateka wa kwanza yuko wapi saa nane yetu macho
 
Tusubiri hiyo kabla ya jumapili alosema bashite. Very sad kwakweli
[HASHTAG]#kinaRomaWakoWapi[/HASHTAG]?
 
Back
Top Bottom