Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bado unaamini ni kiki??pole
Roma! Roma! Roma!Bora uishi Somalia ujue nchi isiyokuwa na AMANI kuliko kushi Tanzania inayosema ina amani kumbe kuti kavu la AMANI.[HASHTAG]#freeroma[/HASHTAG].[HASHTAG]#freemoni[/HASHTAG].
Anything is possible.PART A
Hivi tuweke ushabiki wa kichama pembeni uhusu ROMA.......
Je,ni serikali ndio inahusika juu ya UPOTEVU WAKE???na kama ni serikali ni sababu ipi hasa imefanya serikali ihusike juu ya UPOTEVU WAKE????na kama ni kwa sababu ya mziki wake,je serikali haikuwa na mamlaka ya kuzuia huo wimbo wake usichezwe redioni au ROMA mwenyewe kupewa onyo....na kama kweli ni serikali ndio imehusika juu ya UTEKWAJI wake kwanini still SIMU YAKE ILIENDELEA KUTUMIKA??????huo utakuwa ni uerevu gani wa kipuuzi kwa WATEKAJI wa serikali???????
PART B
Je upande wa pili hauwezi husika juu ya upotevu wa ROMA???na ni kwanini nasema ni upande wa pili INAWEZEKANA WAKAHUSIKA???nasema ni upnde wa pili kwa sababu inawezekana kabsa hawa upande wa pili wakahusika kwa kiasi kikubwa sana ili kujinufaisha wao kisiasa....Kwanini nasema kujinufaisha wao kisiasa....
Nasema hivi nikiwa na maaana ya kwamba WANAWEZA MTEKA ROMA ili kutengeneza tension fulani au kujaribu kuichafua SERIKALI HII KIMATAIFA NA KUFIKIA HATA KUNYIMWA BAADHI YA MISAADA na ambayo mwisho wa siku itaiweka nchi katika wakati mgumu sana na kuwaumiza wanachi wa hali ya chini na kupelekea WANANCHI kuichukia serikali iliyopo MADARAKANI maana hii nayo inawezekana kabsa ikawa ni njia BORA KWA WAO KUJINUFAISHA NA KUPAMBANA NA MAGUFULI maana kaishawashika vibaya mno mpaka sasa hivyo wao kutokuwa na plan B ya kupambna na MAGUFULI itakuwa ni janga sana kwao....NDIO MAANA TUNASEMA INAWEZEKANA KABSA HII TEKA TEKA IKAWA NI PLAN B yao.......
sasa jiulize serikali iliyopo madarakani ikichukiwa hii itakuwa ni faida kwa upande upi????JIBU UNALO MWENYEWE KWA MAONI YANGU hili la ROMA lina ukakasi sana as well as SUALA LA BEN sema tu tatzo kubwa tulilo nalo sisi WATANZANIA tuna mahaba ya KIPUUZI kupita maelezo yaani hatutumii vichwa na bongo zetu kudadavua mambo.....
PART C
Inawezekana ROMA mwenyewe kajiteka kutafuta KIKI au kutafuta HURUMA za mashabiki kwa wimbo wake uo aliokuwa ana rekodi MAANA hakuna kinachoshindikana katika hili.....
Nitakuwa wa mwisho kuamini Roma katekwa
Kama Ney wa mitego alitekwa, Dr ulimboka alitekwa na wakamtoa kucha kwanini usiamini na Roma katekwa? Hasa ukizingatia aina ya muziki anaoimba Roma hauwapendezi watawala wa CCM?Nitakuwa wa mwisho kuamini Roma katekwa
wakimalizana na wasanii watahamia humu JF, tutajua tunaambiana Tu flani na flani wameshatekwa.Hivi Roma ni nani hasa hadi atekwe na serikali?
Yaani atekwe kisa hako ka wimbo kake tu?
Kwani wanaotekwa na serikali wanatakiwa waweje?Hivi Roma ni nani hasa hadi atekwe na serikali?
Yaani atekwe kisa hako ka wimbo kake tu?
Itafika mahali watu hata mkijamba mtasingizia serikali imewajbisha.wakimalizana na wasanii watahamia humu JF, tutajua tunaambiana Tu flani na flani wameshatekwa.