Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Hivi kama simu inaita then haipatikani kwanini wasanii wasiungane kuitrack na kufanya ambush live?
Waliokuwa msaada wa haraka hapo ni mtandao wa simu wenyewe wanaona kila kitu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kama simu inaita then haipatikani kwanini wasanii wasiungane kuitrack na kufanya ambush live?
Acheni uchochezi jamani. Hii kama ni siasa basi opposition watakuwa wanafahamu huyu yuko wapi. Watu wanataka kutumia hii kama nafasi ya kufanya maovu ili watu waseme ni Selikari inahusika. Not true.Tumieni akili zenu wakati mwingine.Bashite katika ubora wake
Acheni uchochezi jamani. Hii kama ni siasa basi opposition watakuwa wanafahamu huyu yuko wapi. Watu wanataka kutumia hii kama nafasi ya kufanya maovu ili watu waseme ni Selikari inahusika. Not true.Tumieni akili zenu wakati mwingine.
Dr ulimboka ilikuwa kipindi cha maguful?Kipindi cha kikwete na mkapa haya mambo hayakuwepo nashangaa sasa hivi inakuwaje tena utawala huu wa Magufuli??
Magufuli kuwa makini sanaa na angalia pia kuna kuishi baada ya urais maana kikwete aliishi na watu vizuri na sasa hivi wanampenda kila mahali akienda.....
acha upuuzi wa kusema mambo usiyoyajua pumbavu....Mkuu roma si anaishi tanga na tongwa record ipo tanga.
Et lemtumbooz anasemaa hamjuii romaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekuwa hivyo wasingefanya kosa la kuiacha hewani huku whatsapp sms zikisomwa!!Waliofanya hivi wanajiamini kuwa hawawezi kuwa traced!Jamani watu mnafanya kazi mitandao ya simu,tuangalizieni mara ya mwisho simu ya Roma mara ya mwisho mnara ulisoma wa maeneo gani!Acheni uchochezi jamani. Hii kama ni siasa basi opposition watakuwa wanafahamu huyu yuko wapi. Watu wanataka kutumia hii kama nafasi ya kufanya maovu ili watu waseme ni Selikari inahusika. Not true.Tumieni akili zenu wakati mwingine.
Hizi siasa mufilisi za ccm zitaliangamiza Taifa letu.kwa post hii unamaanisha huyu Ben si mtanzania bali ni mchadema so chadema ndo yenye wajibu wa kumtafuta na si serikali.Nasikitika kuishi nchi moja na mtu wa aina yako
Et lemtumbooz anasemaa hamjuii romaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yuleee ankoo ninomaaa sanaaaaHahahaaa alafu anajiita king of social media
Mkiambiwa jamaa ni dicteta mnabisha.....Bila shaka sisi ambao hatujapotezwa tunasubiri muda wetu ufike......maana haya mambo ni zamu kwa zamu.
Wakati mnamtafuta Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki na Moni Centralzone pamoja na Vijana wengine waliotekwa pale Studio za Tongwe Records, Mheshimiwa Waziri mwenye dhamana yupo katika mtandao wa kijamii wa Instagram anafanya kazi ya kugonga 'LIKES' katika post za Mange Kimambi.
Hawa viongozi akili huwarudia wakati wa kampeni wakipata madaraka wanakuwa miungu watu wanawadharau wananchi nakiwaona wajinga. Mwigulu labda ka kaa kimya ka ile issue ya Nape kunyooshewa bastola
Endelea mkushupaza shingo .