Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Akipotea Faru John PM anaunda tume na sampuli zinatumwa nje kuchunguzwa.

Akipotea Ben, Roma au mtu mwingine PM anapiga kimya.

Tuunde tume ya kuchunguza akili za viongozi wetu.
Unawezaje kutafuta mtu ambaye unajua alipo?
 
Halafu alivyo mnafiki anajifanya mzalendo sana,muda wote na bendera ya Tanzania kama gari la DC/RC huku huyo huyo wizara yake imetoa arrest warrant kwa Mange akipita mpaka wowote nchi hii!!
Juzi tu hapa mlisema Mwigulu anajielewa ndiyo maana alinyamaza wakati wa kutaja wauza unga. Leo mnamtukana tena. Makamanda mnatisha😛😛😛
 
Haya yanapatikana Afrika hususani Tanzania pekee
 
Wakati mnamtafuta Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki na Moni Centralzone pamoja na Vijana wengine waliotekwa pale Studio za Tongwe Records, Mheshimiwa Waziri mwenye dhamana yupo katika mtandao wa kijamii wa Instagram anafanya kazi ya kugonga 'LIKES' katika post za Mange Kimambi.

Nchi hii inaongozwa na watu wawili tu , Magufuli na Makonda hawa wengine wote wanatumwa na kuelekezwa cha kufanya .
 
Mimi ni kama maelezo yako yalivyojieleza.
pili, kwann Roma ambea nilikua sijui ni nani mpaka nilipopata maelezo yako kupotea siku mbili Magufuli apewe lawama zote?

kwanini kabla ya kulaumu,tusizipe malamka muda zifanye uchunguzi?

Ni viongozi wangapi wameuwawa katika mazingira yenye utata povu halikuwatoka?
Wenyewe hawana wake na watoto?,mbona jukwaa hatukuona povu likiwatoka?

Acheni double standard kwenye masuala ya msingi.

Kwa taarifa yako ,wajuvi wanaweza tumia nafasi hii kufanya bifu zao kwa kigezo cha mauaji ya kisiasa.
Ili kuipaka matope serikali,na hawata faulu hata kidogo.take my words
Serikali ndio imepewa jukumu la kulinda raia na mali zao,kama wameshindwa wawaishe wanaoweza
 
Atakua alitaka kuzoom ngoma ikagonga like hata video za insta sometimes zinaleta mtego huo
 
Akipotea Faru John PM anaunda tume na sampuli zinatumwa nje kuchunguzwa.

Akipotea Ben, Roma au mtu mwingine PM anapiga kimya.

Tuunde tume ya kuchunguza akili za viongozi wetu.
Hapo penye Red ndio Mzizi Mkuu na Sababu muhimu ya Kuunda tume zote hizo juu ya huyu mnyama na Gharama Juu
 
Acha haraka kila kitu kitakua wazi.
kuna jamaa mmoja hapa Dar alimchinja demu wake kwa wivu wa mapenzi ,akatoroka na kujificha ,kanaswa na jeshi la polisi.
Hali kadhalika ni kweli jukumu hili ni lao,lakini wanahitaji muda kulishughulikia.

Ikumbukwe pia wanaofanya haya matukio nao ni weledi pengine hata kuzidi askari wetu.

Ni jukumu letu sote kuwasaidia katika kufanikisha kupatikana kwa hawa ndugu zetu badala ya kua vinara wa kulaumu,haisaidii.

Wahalifu tunaishi nao kwenye jamii yetu.
 
Wakati mnamtafuta Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki na Moni Centralzone pamoja na Vijana wengine waliotekwa pale Studio za Tongwe Records, Mheshimiwa Waziri mwenye dhamana yupo katika mtandao wa kijamii wa Instagram anafanya kazi ya kugonga 'LIKES' katika post za Mange Kimambi.

Halafu ana like as if atachukua hatua .... lakini wapi. Eti waziri mzalendo.... njaa tu
 
Watu buanaaa yaani wewe kuwa kwenye page ya Mange na kusoma posts unajiona ni sawa ila waziri kakosea.
 
Kapotea saanane hata chama hakijaonesha mshtuko sembuse roma. Waziri nae ana maisha yake binafsi bana.
Hizi siasa mufilisi za ccm zitaliangamiza Taifa letu.kwa post hii unamaanisha huyu Ben si mtanzania bali ni mchadema so chadema ndo yenye wajibu wa kumtafuta na si serikali.Nasikitika kuishi nchi moja na mtu wa aina yako
 
hatuna mawazir hapa,kidogo alijitoa mhanga Nape na akashughulikiwa fasta!walo bak n mawazir njaa,wako kimaslah zaid,wazir mkuu ndo zaid kwan kuna mambo meng ya msing ambayo yako chn yake haf hatake into consideration zaid ya kuheshm wanyama kuliko binadam,lkn watu wamepotea hajawah kutoa neno lolote juu ya kupotea kwa watu hawa! wananch wanaowachagua hawa viongoz wajiulize mara mbil 2 juu ya uwakilish wao make akili zao nazifananisha na huyu mbunge wa mtera!
 
Back
Top Bottom