Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Mwenyez Mungu awalinde uko waliko. Kama alivyo mlinda Daniel katika kinywa cha Simba!
 
Akipotea Faru John PM anaunda tume na sampuli zinatumwa nje kuchunguzwa.

Akipotea Ben, Roma au mtu mwingine PM anapiga kimya.

Tuunde tume ya kuchunguza akili za viongozi wetu.
Viongozi na utawala wa awamu ya tano upo kwa ajili ya wanyama tu
 
Camera,Lights,Action Anapendaga MAKIKI Kama MSANII....#BASHITE_WEKA_VYETI.
 
Kama analike basi azifanyie kazi taarifa za kupotea huyo kijana, haya mambo ya kupotea potea watu ni mageni nchi hii.
 
hivi kumbe kulike post inachukua siku nzima?
 
Hivi Roma ni nani nchi hii?


Mkuu haijalishi Roma ni nani ila haitakiwi hata RAIA mmoja wa nchi hii apotee kwa uzembe.

Najua una maana gani kuuliza swali kama hilo ila nasikitika sana hilo swali limeulizwa na mtu anayejiita great thinker...nimesikitika sana.

Nchi za wenzetu raia wao mmoja tu akitekwa au kupotea ktk Mazingira tatanishi viongozu husika huwa wanachukua hatuna stahiki kuhakikisha anapatikana akiwa usalama.

Naomba nikujibu swali lako...Roma ni mtanzania ana mke na mtoto/watoto nadhani...ana watu wanaomtegemea.

Naomba nikuulize swali pia... Hv wewe ni nani nchi hii???
 
Roma aliimba akasema wamkamate hata wamtupe kwenye daraja la Mkapa so muwe wapole maneno yanaumba unachokiomba ndio unachopewa,hata maandiko yanasema motto akiomba mkate hauwezi kumpa jiwe unampa mkate
Mbona umeguza maneno ya biblia, "ole wake apunguzae au aongezae maneno ya kitabu hiki" Eti umefanya hivyo ili kuweka sawa andiko lako, kwa kifupi ni Yesu aliwauliza wanafunzi wake, ni nani mzazi ambae mwanae akiomba samaki atampa nyoka, au mkate akampa jiwe!! Jitafakari acha kusheherehekea msiba wa Jirani yako.
 
Mange noma mpaka mawaziri wachumi grade one wanatembelea page yake.Huyo alikuwa anazoom akalike bahati mbaya
 
usalama wa wananchi upo wapi.na hii tabia ya kuchukuwaa watu bila taarifa za ndugu na jamaa .si ngeni kwa mtindo huu.je wajibu wetu kama raia kujua sheria.
huyu ni roma leo kila mtu anataka kujua.je makapuku kama sisi..?
 
ASIPO ONEKANA NA HUYU KUANZIA LEO IKITOKEA NAKAMATWA NA WATU HATA WAKIJITAMBULISHA NI ASKARI NITAJIHAMI KI VYOVYOTE VILE MAANA HALI YA BONGO SASA KAMA EUROPE TU.
 
Hii nchi ya ajabu Sana, eti Kuna kifaru Fausta Anatumia 64mil kwa mwezi kwaajili ya chakula, WTF
 
Hahahaaaa sina mbavu. Profesa Jay?!!!!!!!!!!! Hakuna cha kushangaa. Hawajamtoa Ben sasa wanatafuta kiki nyingine. Mmeishaaaa. Habari za kuungaunga tuuu. Hamumpati mtu hapo. Ueni kabisa ili mchafue taifa. Habari hii watakaoitilia maanani ni wale wenye akili za kubandikwa kama yule mnyama asiye na kumbukumbu. Hamumpati mtu hapa. Kweli viatu vya Dr Slaa havijapata mtu ila ni mafioso tu
 
Back
Top Bottom