Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

nilichogundua humu kuna watu hawajawahi kukutwa na matatizo yakuwafanya wachanganyikiwe... nawaacha mropoke ila namuomba mungu wote wanaosema roma anatafuta kiki yawakute ili wake zao watoe ushuhuda... dunia hainaga siri bhana!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukosefu wa busara huu ,mkuu acha mihemko

Tumia lugha nzuri tu utaeleweka.
Siku mkianza kutumia akili badala ya kamasi ndio watu tutakuwa na busara.

Ben ana muda gani toka amepotea? nchi hii ina vyombo vya usalama ni hatua gani wamechukua? Juzi walimtolea Nape Bastola, Leo wamemteka Roma na wenzake, kesho ni wewe jiandae.
 
Halafu inabidi mjue kutofautisha kati ya kutekwa na kukamatwa naona mleta mada anaongelea kukamatwa wakati mtu hafahamiki mahali alipo? acheni ujinga wa fikra
 
Siku mkianza kutumia akili badala ya kamasi ndio watu tutakuwa na busara.

Ben ana muda gani toka amepotea? nchi hii ina vyombo vya usalama ni hatua gani wamechukua? Juzi walimtolea Nape Bastola, Leo wamemteka Roma na wenzake, kesho ni wewe jiandae.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sasa mimi na wewe nani anatumia kamasi?

Siku anakamatwa Roma ulikuwepo sehemu ya tukio?

Je una uhakika gani kama kweli amekamatwa? Zaidi na zaidi umepata habari IG na wewe umeichukua kama ilivyo na kujiaminisha kama ni kweli

Siku zote jifunze kufikiri nje ya box utafanikiwa sana maishani.
 
Huo ndio ukweli mkuu ,Roma hajatekwa na mtu yoyote yule ila anatafuta kiki tu.
Yaani wewe jamaa samahani naomba nikutukane.....Bwege Nazi kabisa hivi Roma na akili zake anaweza kujificha atafute kiki ya nini wakati image ya Roma kimziki ni kubwa? Au km unauhakika alikojificha twambie twende ili wasanii wengine wasijitafutie kiki kwa kujificha....IQ yako ndogo sana na hujawahi kukutwa na maswahibu makubwa.....think beyond shading bwana kauli yako ya kishenzi inaumiza familia ya Roma,na wengine watu wa karibu usiropoke tuu...ajifiche ili wewe ndo ukamuoe mke wake urithishwe familia na mali?sijawahi tukana ila Umeniudhi sana ila km siyo mchawi wewe basi unalelewa au huna hata vyeti..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Una uhakika gani kama ni kweli amekamatwa?
 
nchi hii inavosikitisha ngoja itungwe nyimbo ya kuikashfu serikali ndo utajua kama tuna polisi
faru john kapotea hadi kamati ikaundwa kuchunguza
binadam anapotea polisi kimyaa wengne wanatishiwa uhai polisi kimyaa
mungu ibarki tanzania
 
Kwani tongwe record hamna cctv camera tuone ni wakina nani?

Yawezekana bwana yule bashite ameenda nahuko
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Una uhakika gani kama ni kweli amekamatwa?
Kwani mke wake si kahojiwa na baadhi ya TV akieleza mazingira halisi bwana unatuchosha bwana ...refer mahojiano ya MAMA IVAN VS CHARLES HILLARY THRU AZAM TV

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
28d7d066957035b6c9dfd5ea84d05f16.jpg
 
Wewe ni tumbili mke wake anasema amehangaika vituo vyote vya polisi mjini hajamuona mumewe.

acha kuwa ndezi wewe.

endeleni kutumia pesa za walipa kodi kumtafuta faru John ila Watu wakipotea semeni ni kiki.
Sijazoea kubishana

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Wakitoka kwa wasanii wanaenda wapi sasa? maana huku walisha pita
-Wafanyabiashara
-Vyombo vya habari
-Upinzani
-
-
-
Kwa raia[emoji23] [emoji23] [emoji18] [emoji23]
 
Hapa naona kuna mambo makubwa mawili wamempoteza roma kwa makusudi ili mradi tukose umakini wa kufatilia bajeti yakimagumashi au wanatuma ujumbe kwa wasanii waache kutunga nyimbo zakukosoa serikali
 
hakuwaomba mpange foren kumpigia kura. nivihele hele tuu kwahiyo vumilien
 
Back
Top Bottom