Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

So mlitaka Mwigulu hata kusoma vitu asiwe anasoma kisa Roma kapotea?
 
Si kweli!!!!! Alita ku zoom bahati mbaya aka like hata mie inanitokeaga!!!!!!
Km bahat mbaya si ange dislike kwa ku kutoa like yake. Mbona inaeezekana. Waziri ana appriciate anachosa Mange lakin ukwi ni kwamba hawezi fanya kitu ni aidha ajitoe muhanga km Nape au anyamaze tu.
 
Sasa hivi watu wanapotea ka Rwanda na Congo ukikosea tu unapotea loh. Lord have mercy
 
Wasanii hawana ushirikiano
Wengi wao wanafiki sababu jamaa alikuwa Upinzani hawatamuongelea kabisq
 
Tatizo saiv kila mtu anakurupuka tu kutunga uongo wake ili mradi kaonekana mjanja. Hapo umeweka picha ya rais na makonda je wanahusikaje na suala la roma? Kwani roma hana maisha nje ya muziki kiasi cha kumletea maadui wa kumteka na kumlazimisha kile wakitakacho,je kama walidhulumiana pesa huko. Acheni kukurupuka
 
Mkuu we haufai kuachiwa uuguze mgonjwa maana baada ya kumfariji utamkatisha tamaa na kumwambi Hauponi... fikiria mke wa roma akisoma bandiko lako atajisikiaje?
 
Hivi kura tuliwapigia kwa amani mbona malipo ndio haya jamani hayo mambo tulizoea kuyaona kwa wasomali huko na alshabaab yao miungu watu tutakufa sote ni swala la mda tu watangulizeni wenzenu zamu yenu yaja kutwa makanisani kumbe mbwa mwitu wakubwa [HASHTAG]#free[/HASHTAG] roma
Una moyo, kumbe uliwapigia kura
 
Halafu alivyo mnafiki anajifanya mzalendo sana,muda wote na bendera ya Tanzania kama gari la DC/RC huku huyo huyo wizara yake imetoa arrest warrant kwa Mange akipita mpaka wowote nchi hii!!
Huyu mwigulu si ndo alikuwa anatuhumiwa kwa ugaidi wa CDM si ajabu anahusika huwa simwamini sana mwigulu maana kavaa ngozi ya kondoo kumbe kwa ndani ni mbwa mwitu.
 
Unakuta watu wanajua kabisa walomteka fulani ni polisi, ama kiongozi. Lakini hawawataji na kutuelezea tukio halisi na hawakuwepo saa anatekwa nikusoma taarifa millardayo tu.
 
Labda hajapotea yumo mikononi mwa serikali sasa tatizo lipo wapi kama kashikwa na serikali?
Kwahiyo serikali ndo inauhusiwa kushika watu bila kutoa taarifa juu ya kushikwa kwao? Acha ubashite wa kiwango cha lami. Simpo unasema tatizo lipo wapi! Km huna cha kuongea bora ka kimya he is a human not a pig. Hata nguruwe akipotea mwenye nae humtafuta, halafu msiwe mnachukulia siasa kila kitu. Una fahamu nini maana ya binadam wewe? Embu wewe kua ndio mke baba au mama wa Roma au ndugu tu. Ni bora kunyamaza kuliko kuongea ujinga kwenye mambo ambao ni sensitive kwa mustakabari wa taifa.
 
Roma aliimba akasema wamkamate hata wamtupe kwenye daraja la Mkapa so muwe wapole maneno yanaumba unachokiomba ndio unachopewa,hata maandiko yanasema motto akiomba mkate hauwezi kumpa jiwe unampa mkate
 
Binadamu wa nchi hi hawana thamani kama faru john mpaka kifo kinaundiwa tume!!!!! faru fausta kashazeeka ngoja aje ndo utajua kwanini we huna thamani???
Huyo faru fausta siwamuue tu m 64 kumtunza kwa mwezi wakati kwa sasa mahospitalini hata panadol Mpaka ukanunue nje ya hospital, hili taifa aliyeliroga nikiboko kabisa yani.
 
Nimepitia mtandao mmoja ulioweka maelezo ya mke wa msanii wa music, Roma Mkatoliki akisema kwamba,.. "akipiga simu ya mumewe inaita lakini haipokelewi".....
Sasa Kama inaita, kwanini Police wasiifanyie hiyo simu tracking ili waweze kubaini alipo?
Nasema hwenda police wanajua, kwakua najua wao ndio wanaohusika na usalama wa raia wote, na vifaa vya kutrack mawasiliano wanavyo, so kwann hawajatoa tamko lolote, wala hawaonyeshi kama skendo hii ni kubwa ndani na nje ya Tanzania?
Roma sio wa kwanza kutekwa,... Police hwenda wanajua mpango mzima wa jambo hili.....Tanzania uhuru na amani ni tete.
 
Mungu apitishe mbali.

Muujiza utokee apatikane, hata Ben naamini kuna siku atapatikana,

Ingawa akina MANGE KIMAMBI wana-conclude kuwa ameuwawa, very sad!
 
Tatizo saiv kila mtu anakurupuka tu kutunga uongo wake ili mradi kaonekana mjanja. Hapo umeweka picha ya rais na makonda je wanahusikaje na suala la roma? Kwani roma hana maisha nje ya muziki kiasi cha kumletea maadui wa kumteka na kumlazimisha kile wakitakacho,je kama walidhulumiana pesa huko. Acheni kukurupuka
Hapo nadhani Magufuri ni rais wa Tanzania nchi anayotoka msanii Roma na Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar ambayo ni makazi ya msanii Roma.Kumbuka hiyo picha ni mkenya kaiweka kwenye page yake.Mengine tuwaachie polisi
 
Halafu alivyo mnafiki anajifanya mzalendo sana,muda wote na bendera ya Tanzania kama gari la DC/RC huku huyo huyo wizara yake imetoa arrest warrant kwa Mange akipita mpaka wowote nchi hii!!
Mange alikuwa CD
 
Back
Top Bottom