Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,604
Unaweza kuwa na point lakini wakati mwingine tusiingize sana mambo ya siasa na uhai wa binadamu kama kweli wamepotea. Watu wamechapisha sana Tshirt mpaka sasa hatujui hiyo fund ina msaada gani na familia na upoteaji wa huyo Ben. Faru John issue yake ni tofauti japo unanishangaa kwa kusema hivyo.Akipotea Faru John PM anaunda tume na sampuli zinatumwa nje kuchunguzwa.
Akipotea Ben, Roma au mtu mwingine PM anapiga kimya.
Tuunde tume ya kuchunguza akili za viongozi wetu.