Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

All and all you see a-gwan
Is to fight against Rastaman.
So they build their world in great confusion
To force on us the devil's illusion.
But the stone that the builder refuse
Shall be the head cornerstone,
And no matter what game they play,
Eh, we got something they could never take away;
We got something they could never take away:


And it's the fire (fire), it's the fire (fire)
That's burning down everything:
 
Kuchukuliwa kwa Roma na wenzake na watu wasiowajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia na Inahitaji miwani mikali sana inayoweza kupenya kwa rays!!

Kwanza Roma Mkatoliki mwanamuziki si tishio kwa usalama wa Taifa kabisa hata maudhui ya nyimbo zake ameanza kuimba toka utawala wa Dr Kikwete wala sio tishio kabisa ila anapeleka ujumbe tu.

Ila kutoka na Serikali ya Dr Magufuli kutishia usalama wa maslahi ya wasiopenda kufuata sheria za nchi hii basi Serikali yake imekuwa na maadui kila kona na kila siku wanatafuta namna ya kuitangazia dunia kuwa Serikali ya Dr Magufuli ni kandamizi kitu ambacho si kweli.

Na Imani kabisa walioteka Roma Mkatoliki ni watu wenye lengo la kuichafua Serikali ya Dr Magufuli matope na nia hii ovu utashindwa tu kwasababu Rais anasimamia maslahi ya watanzania wote bila kujali DINI,rangi,kabila wala elimu iliyokuwa nayo.

Serikali ina mambo mengi ya msingi ya kushughulika nayo hawezi kuacha ianze kukata Roma MTU anajitafutia riziki kwa kuimba tena ktk hali ngumu hii ambayo watu wamepunguza hata starehe sasa.
Haya ni mahaba ya dhati.
 
Kupotea kwa Roma si tukio la serious ni kutafuta kiki tu

Alikuwa kashapotea kwenye game hivyo basi anatafuta kiki ili arude kwenye chati
Acha masiala wewe kiki mtu ajulikani alipo had wife wake analia hakuna kitu kama hivyo afu kupotea kwenye game hakuna kitu kama icho naisi wew mkuu unafatilia mziki wa sengeli ndo maana unasema kapotea kwny game
 
Et lemtumbooz anasemaa hamjuii romaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wanangu wa street Life, Usimsahau Mchizi moni
Wanangu wa street life, usimsahau mchizi Roma
 
hakuna tatizo hapo. it means bashite atashugulikiwa
 
Back
Top Bottom